Browsing: Niliolewa Na Mtu Nisiyemjua

Niliolewa Na Mtu Nisiyemjua

Ilipoishia “Wala hakuongea chochote akaanza kuniandalia chakula nile, nilikua nahema kwa shida sana.  “Kunywa Maji” alisema, alikua haniangalii usoni, nilikua na kiu ya maji lakini kiu…

Niliolewa Na Mtu Nisiyemjua

Ilipoishia “Jua lilianza kuzama, nilikua tayari nimemaliza kupika na kuweka chakula kwenye hot-pot.  Nilikua na msongo wa mawazo, kichwa nacho kilikua kinaniuma sana kwa sababu ya…

Niliolewa Na Mtu Nisiyemjua

Ilipoishia “Kama utaendelea kunisumbua basi hapa patakuwa Jahannam yako na hutokaa utoke Milele  Daima. Kingine napaswa kukuvuna viungo kila unapofanya mapenzi na Misukule, siku  nikimaliza nitakuacha…

Niliolewa Na Mtu Nisiyemjua

Ilipoishia “Sikuwa na maswali mengi kuwa chapati zinaenda kuliwa na Nani sababu hata ule Mchicha  nilikua na uhakika kuwa unaliwa na Misukule niliyoiona Usiku. Nilihisi kukonda…

Niliolewa Na Mtu Nisiyemjua

Ilipoishia “Shiii‼” Baba Mkwe akanipa ishara katili ya kunitaka nikae kimya vinginevyo kile kisu  kingeingia mwilini mwangu. Kisha akachuchumaa na kuniambia “Leo utajuwa ni kwanini uliolewa…

Niliolewa Na Mtu Nisiyemjua

Ilipoishia “Mh! Kwani yule Kijana yuko wapi sijamuona muda, yeye alikua anachukua Mchicha hadi wa  Elfu Kumi” alisema yule Mama, sikuweza kujizuia ilibidi nicheke maana Mchicha…

Niliolewa Na Mtu Nisiyemjua

Ilipoishia “Utamzoea, si unajuwa wazee wa zamani. Pengine hakutaka wewe ushike begi kwasababu zilizo  kaa kitamaduni tu za Kizamani au kabila letu lakini ni mcheshi utamzoea…

Niliolewa Na Mtu Nisiyemjua

Sijui kwako ndoa ina maana gani lakini kwangu Mimi ndoa ilinipotezea Muda wangu, iliniacha na  Maumivu na kilema cha Maisha yangu.  Sikuwahi kuwaza chochote kuhusu ndoa…