Browsing: Msala Kijiweni

MSALA

Ilipoishia “Siku nyingine sitofikiria mara mbili nini cha kukufanya, ulistahili zaidi ya hapa” alisema kisha aligeuka aondoke lakini akapata hisia fulani iliyomwongoza kugeuka na kumtazama Mzee…

MSALA

Ilipoishia “Huko nje vikosi viliwasili ili kumnasa Elizabeth, Rais aliagiza ni lazima anaswe au auawe. Namna vikosi vilivyojikusanya kwa ajili ya Msichana mdogo ilileta taswira halisi…

MSALA

Ilipoishia “Masaa manne umeyamaliza kwa kukoroma, Mwanaume halali Benjamin. Bado tupo Msitu wa Umauti” alinikumbusha Elizabeth akiwa ananitoa dripu ambayo ilikua imeshamaliza kazi ya kuniongezea damu.…

MSALA

Ilipoishia “Mara tulisikia mchakacho kutokea Porini, Elizabeth akaiweka bastola yake sawa kwa ajili ya Usalama, mchakacho ulikua wa taratibu mithiri ya paka mwenye kuwinda, Mapigo yangu…

MSALA

Ilipoishia “Katikati ya Usiku, katikati ya Msitu, Baridi kali lilikua likinipiga, mvuke ulikua ukitoka mdomoni kila nilivyokua nikipumua. Mwili wangu wote ulijawa na tope zito linalonuka,…

MSALA

Ilipoishia “Nilifika mahali nikaamua kujificha maana tayari nilishachoka, nilijibanza nyuma ya Mti mmoja eneo ambalo lilikua limeshona miti midogo midogo iliyojitengeneza kama kichaka ndani ya Msitu…

MSALA

Ilipoishia “Usiniache wataniuwa” Kwanza nilijisaidia nikatoka ndani ya lile gari kisha nikasogea upande wa mlango ambao Elizabeth alikuwepo, nilijaribu kuufungua lakini ulikua umeshajibamiza na mfumo mzima…

MSALA

Naitwa Benjamin Kingai, Mimi ni Rubani wa Ndege za shirika la Air Tornado. Nilikutana na Mkasa kwenye Maisha yangu, Mkasa ambao sitokuja kuusahau hadi naingia kaburini,…