Browsing: Msala Kijiweni

MSALA

Ilipoishia “Akavua Mask yake kisha akaanza kufwatilia nyendo za Muhonzi, alimchunguza kwa siri hadi Muhonzi alipoutikisa mlango na kuufungua kwa wepesi sana kisha akatokea upande wa…

MSALA

Ilipoishia ” Kwa kujiamini akasimama na kumvuta Bligedia kwa mbwembwe kisha akampa neno kwa sauti ya kuchombeza “Tuma Askari hapo sasa hivi” alisema kisha aliachia tabasamu,…

MSALA

Ilipoishia “Mithiri ya Umeme uwashwapo, ndivyo fahamu za Benjamin zilivyorudi huku mapigo ya Moyo wake yakiwa yanaenda mbio sana, zaidi ya siku nzima alikua kwenye Usingizi…

MSALA

Ilipoishia “Gari ndogo iliyombeba Muhonzi iliwasili ndani ya godauni moja, akashuhswa na kuburuzwa hadi ndani ya Chumba kimoja kilicho kitupu, akamwagiwa Maji ili azinduke. Maji yalimzindua…

MSALA

Ilipoishia “Madam tumeshafika” ilikua ni sauti iliyomzindua Elizabeth ķutoka katika fikra nzito ya namna alivyokutana na Mke wa Rais hadi kupanga njama za wizi ndani ya…

MSALA

Ilipoishia “Alinivuta haraka sana kama vile Mtu aliyekua akijua anachokifanya, akili haikutaka kuendelea kufikiria, macho yalikataa kumtazama yule Mtu, sikujua alikua ni Askari au alikua ni…

MSALA

Ilipoishia “Abee” kwa kisauti chake kama Wema Sepetu aliitikia Elizabeth, ukimwona unaweza fikiria ni Msichana dhaifu sana lakini alikua na wasifu mkubwa na wa kutisha, akiwa…

MSALA

Ilipoishia “Miili ya Wanakijiji ilisambaa kila kona ya Kijiji, haikuchukua hata dakika mbili zile Helkopta zilianza kudunguliwa moja baada ya nyingine, pakawa kimya kabisa, halafu sauti…

MSALA

Ilipoishia “Mkuu tunafyeka wote kisha kikosi kazi nacho kinafyekwa na kikosi maalum” alisema Balozi, haraka Rais bila kujiuliza mara mbili alinyanyua simu yake na kumpigia IGP…