Browsing: Goryanah

Riwaya ya Goryanah

Ilipoishia ” Aaah! Mamangu hawezi kuiba pesa nyingi vile! Kwanza hanaga hiyo tabia! Ndio umemtengenezea kesi Mama’ngu! Ni kwakuwa hunipendi Mimi ee? Kwakuwa ni Mama nitaenda…

Riwaya ya Goryanah

Ilipoishia ” Jolvin alimwangalia Joely Huku akimpatia ishara ampake dawa make yeye ashaanza kumuonea huruma kwa ile dawa ni Kali sana, ilikuwa ni ” iodine solution”…

Riwaya ya Goryanah

Ilipoishia  Alimsogelea Karibu Kisha alimnong’oneza sikioni.    “” Ukinigusa Mimi ndio umegusa familia nzima ya Mishoki! Kwahiyo kuwa makini!” Hammad alisogea nyuma kidogo Kisha aliwapatia Ishara wenzake…

Riwaya ya Goryanah

Ilipoishia ” Goryanah ilibidi amsine mguuni kwanza Kisha walianza kurushiana majani wakikimbizana, lakini kwa bahati mbaya wakati Gorii” anarusha yalimuangukia Jolvin kichwani na mengine usoni.  Jolvin…

Riwaya ya Goryanah

Ilipoishia ” Wakati wakiwa jikoni wadada wa kazi wote walishadadia Gorii” apeleke kinywaji kwanza kwani wote wanamuogopa Jolvin, muda wote ni kusodoa, wakati mama anaita Goriii…

Riwaya ya Goryanah

Ilipoishia ” Baada ya kumaliza maongezi walirudi sebuleni, Gorii” alitembezwa nyumba nzima ajue mazingira pia alipatiwa chumba chake kwaaajili ya mapumnziko. Mwisho kabisa walikaa mezani wapate…

Riwaya ya Goryanah

Ilipoishia “Ilikuwa ni sauti ya Baba iliyomfanya asimame kwani ilikuwa Kama inamfokea, aligeuka ili amjibu lakini alikumbuka Kuna Maneno alikuwa akimwambia mamake.    “Hupaswi kuzungumza na…

Riwaya ya Goryanah

Ilipoishia ”  Wasimbe nyie! Mamako amebaki kula pesa za Mume wangu halafu unakuja kumtafuta Mamako kwangu! Nakwambia na huyo mamako anaendeleza umalaya na waume za watu!…

Riwaya ya Goryanah

Ilipoishia ” Mudy baada ya kumfikia ilibidi asimame nyuma yake make alikuwa amenuna. Goryanah ndio anageuka huku akipaza sauti, ndipo anakutana na Mudy uso kwa uso…

Riwaya ya Goryanah

Utangulizi:  Katika dunia hii kila mtu amekuwa akiuchukia umaskini, na familia zisizokuwa na uwezo nazo zimekuwa zikifedheheshwa na watu matajiri wakiamini katika jamii hawana mchango wowote!…