Subscribe to Updates
Get the latest updates from Kijiweni.
Browsing: Fungate Kijiweni
Ilipoishia ” Robson alijawa na mshangao kumsikia Mama yake akisema kuwa anamjuwa aliyemuuwa Sylvia, alishusha munkari kisha akamuuliza Mama yake kwa utaratibu sana “Unamjuwa aliyempiga risasi…
Ilipoishia “Sylvia akanyanyuka taratibu na kuuelekea Mlangoni ili aangalie ni nani alikuwa akigonga, laiti kama angelijuwa asingeliinuka akaenda mlangoni, Baba yake Robson alitumia maelekezo ya Robson…
Ilipoishia “Mambo kama haya ni lazima kwanza niyaelewe ndipo nifanye uamuzi japo nina imani hadi asubuhi kila kitu kitakuwa kimeisha” Alisema Baba yake Robson, waliondoka Usiku…
Ilipoishia ” Walipomaliza kunywa chai walikodi Tax hadi nyumbani kwa Mage, Wakatumia ukuta kuingilia, kisha Robson akajificha mahali, Mark akagonga mlango. Kelele za kugongwa mlango zilimshtua…
Ilipoishia “Alimtumia meseji Mage akamwabia”asante sana Rafiki yangu” Brahama hakuona sababu ya kutoka tena, alisubiria hadi muda ambao atahisi Sylvia ameamka, hakutaka kumsumbua Mwanamke aliyempenda sana.…
Ilipoishia “Doa likaingia kwenye ndoa ya Robson na Sylvia huku kila mmoja akifikiria kimpango wake, hakuna aliyetaka kujishusha sababu Sylvia alikuwa akiamini anapendwa sana na Robson…
Ilipoishia ” Sylvia alifanikiwa kunwona Brahama kwa mara ya kwanza baada ya Mwaka mmoja wa kutokuwa na mawasiliano naye, mwili wa Sylvia ulitokwa na jasho, jinsi…
Ilipoishia “Una nini Mke wangu?” Alihoji kwa utaratibu kama siyo yeye aliyemfokea rafiki yake muda mchache uliopita, Sylvia aliketi bila kusema chochote huku ndani yake akiwa…
Ilipoishia “Shangwe na vigeregere viliibuka kanisani baada ya Familia ya Sylvia kuingia kanisani, waliopiga vigeregere hawakujuwa mioyo ya Sylvia na Robson ilikuwa kwenye msuguano mzito sana,…
Katika Maisha, kila mmoja anakuwa na ndoto kubwa yenye kumpa furaha Maishani mwake,hata wewe una ndoto ambayo siku moja ikitimia utakuwa ni mwenye kufurahi sana.Hivyo ndivyo…