Subscribe to Updates
Get the latest updates from Kijiweni.
Browsing: chama simba
Siku zote sio vibaya kurudia njia iliyokupa mafanikio . Tena kama njia mpya uliyoichagua imeshindwa kukupa mafanikio . Lakini swali kubwa ni je utayapata mafanikio uliyoyapata…
Nikiri kuwa sipingani na jambo hili lakini ni wazi kuwa uongozi wa klabu ya Simba unapaswa kuwa makini zaidi kwani ndio eneo ambalo mara nyingi mashabiki…
Kama Taifa tumeshajipanga kuwa na Chama au Pacome, lazima tuwe wajanja katika hili hatupaswi kuendelea kuwasifia wachezaji wa mataifa ya wenzetu wakati sisi timu yetu inakwama.…
Mwanzo ilionekana kama Asec dhidi ya Simba ni mechi ya kawaida na haitakuwa ngumu kiasi hicho kwa sababu tayari Asec Mimosa ameshafuzu hatua ya Robo fainali…
Siyo kero linapotajwa jina la mchezaji Clatous Chota Chama kwa wana michezo, lazima ulitaje pindi michuano ya kimaitafa hususani Ligi ya mabingwa inapokaribia, kilichofanywa na mchezaji…
Kabla ya kuanza kwa michuano ya mataifa barani Afrika kulitoka moja kati ya taarifa iliyoibua maswali mengi sana kwa mashabiki wa soka Tanzania taarifa ambayo ilitoka…
Soka, kama mchezo wa kimataifa, umekuwa njia kuu inayowasukuma vijana wa Kitanzania kuelekea kwenye malengo yao ya mafanikio. Kwa wengi, ndoto ya kucheza soka barani Ulaya…
Uongozi wa klabu ya Simba kupitia kwa Mtendaji Mkuu wa klabu umewasimamisha wachezaji Nassor Kapama na Clatous Chota Chama kutokana na vitendo vya Utovu wa nidhamu.…
Mchambuzi wa soka na mchezaji mkongwe wa Tanzania, Amri Kiemba kupitia kurasa zake za mitandao ya kijamii ameamua kuibuka na kutoa maoni yake kuhusu kile kinachoendelea…