Wikiendi si ndo hii hapa? Mechi kibaaooooo mwekezaji.Tunaifungua wikiendi ya kwanza ya mwezi wa 2 kutoka Kijiweni kwa kuutazama mkeka wa leo wenye mechi zaidi ya 13 kutoka ligi mbalimbali duniani bila kusahau hatua ya Robo Fainali ya AFCON. Kumbuka kuupitia na kuusuka upya kwa kutazama namna ambavyo wewe unaona ni sahihi kwako ili kushinda kwa namna nyingine pia.
Gnistan – HJK
HJK Win
Everton – Tottenham
1st Half: (Under 1.5)
Valencia – Almeria
Valencia Win
Bayern Munich – B. Monchengladbach
Home to Win Both Halves? (YES)
Freiburg – Stuttgart
GG & Over/Under 2.5: (YES/OVER)
Darmstadt – Bayer Leverkusen
Bayer Leverkusen Win
Brighton – Crystal Palace
Brighton Win
Newcastle – Luton
(1 & Over 1.5)
17:0003/02/2024
West Brom – Birmingham
(1 & GG)
Stoke – Leicester
Both teams to score: (YES)
Peterborough – Wigan
Peterborough Win
Twente – Waalwijk
HT/FT: (1/1)
Rennes – Montpellier
Double Chance: (1X)
Frosinone – AC Milan
Double Chance: (X2)
Sheffield Utd – Aston Villa
Total: (Over 2.5)
Famalicao – Sporting CP
Sporting CP Win
Nantes – Lens
1st Half: (Under 1.5)
Girona – Real Sociedad
1st Half: (Under 1.5)
FC Porto – Rio Ave
HT/FT: (1/1)
Bila shaka umeziona mechi zote ambazo tumekuandalia katika mkeka wa leo Jumamosi na kazi ni kwako sasa katika kuhakikisha kuwa unachagua kampuni ambayo unadhani una bahati nayo nzuri katika kuweka mikeka yako ya ushindi. Kumbuka hairuhusiwi kushiriki katika michezo ya ubashiri kama uko chini ya miaka 18 na weka mikeka yako kwa kiasi ambacho unadhani hata ukikipoteza itakua rahisi kukipata.
Mkeka huu tumeandaa kama ambavyo huwa unaandaa wewe hivyo hatukupi 100% ya ushindi kutoka kwetu zaidi sana chaguzi za timu ambazo tunaziona zina uwezekano mkubwa wa kuleta matokeo kwa kile ambacho tunakua tumekiandaa katika option husika.
SOMA ZAIDI: Ukibeti hivi robo fainali una uhakika wa kushinda.