Karibu sana kwenye mkeka wa leo Ijumaa kutoka Kijiweni ambapo tunainza wikiendi na timu hizi kutoka ligi mbalimbali duniani.Kumbuka kuupitia na kuongeza au kupunguza timu kwa vile ambavyo unaona inafaa ili kuweza kushinda lakini kubwa zaidi kumbuka kubashiri kwa kiasi kwani siku zote sio mikeka yote itakupa uhakika wa ushindi moja kwa moja.
Shandong Taishan – Changchun Yatai
Shandong Taishan Win
Kawasaki Frontale – Iwata
Iwata Win
Shanghai Port – Wuhan Three Towns
Shanghai Port Win
Cherno More – Botev Vratsa
Halftime/Fulltime: (1/1)
Sandhausen – Freiburg II
1X2 & BTS: (1 & YES)
Waregem – St. Liege U23
Waregem Win
De Graafschap – Oss
1X2 & Total: (1 & Over 1.5)
Den Haag – Jong Ajax
Den Haag Win
NAC Breda – Jong Utrecht
NAC Breda Win
FC Emmen – Willem II
Both teams to score: (YES)
Freiburg – Bayern Munich
DC & BTS: (X2 & YES)
Derry City – St. Patricks
Derry City Win
Cork City – UC Dublin
Cork City Win
Bila shaka umeziona mechi zote ambazo tumekuandalia katika mkeka wa leo na kazi ni kwako sasa katika kuhakikisha kuwa unachagua kampuni ambayo unadhani una bahati nayo nzuri katika kuweka mikeka yako ya ushindi. Kumbuka hairuhusiwi kushiriki katika michezo ya ubashiri kama uko chini ya miaka 18 na weka mikeka yako kwa kiasi ambacho unadhani hata ukikipoteza itakua rahisi kukipata.
Mkeka huu tumeandaa kama ambavyo huwa unaandaa wewe hivyo hatukupi 100% ya ushindi kutoka kwetu zaidi sana chaguzi za timu ambazo tunaziona zina uwezekano mkubwa wa kuleta matokeo kwa kile ambacho tunakua tumekiandaa katika option husika.
SOMA ZAIDI: Nini maana ya GG, over/under 0.5 and over/under 1.5 kwenye kubashiri mpira wa miguu