Karibu sana kwenye mkeka wa leo Alhamis kutoka Kijiweni ambapo tunaiendeleza wiki na timu hizi za ligi mbalimbali.Kumbuka kuupitia na kuongeza au kupunguza timu kwa vile ambavyo unaona inafaa ili kuweza kushinda lakini kubwa zaidi kumbuka kubashiri kwa kiasi kwani siku zote sio mikeka yote itakupa uhakika wa ushindi moja kwa moja.
FK Zorya Luhansk – Shakhtar Donetsk
Shakhtar Donetsk Win
Lille – Aston Villa
Aston Villa Win
Al Shabab – Abha
Al Shabab Win
Civil Service Strollers – East Kilbride
East Kilbride Win
AS Roma – AC Milan
1st Half Total: (UNDER 1.5)
Atalanta – Liverpool
Double Chance: (X2)
West Ham – Bayer Leverkusen
BTS & Total: (Yes & Over 2.5)
Fenerbahce – Olympiacos Piraeus
Double Chance: (1X)
Bila shaka umeziona mechi zote ambazo tumekuandalia katika mkeka wa leo na kazi ni kwako sasa katika kuhakikisha kuwa unachagua kampuni ambayo unadhani una bahati nayo nzuri katika kuweka mikeka yako ya ushindi. Kumbuka hairuhusiwi kushiriki katika michezo ya ubashiri kama uko chini ya miaka 18 na weka mikeka yako kwa kiasi ambacho unadhani hata ukikipoteza itakua rahisi kukipata
Mkeka huu tumeandaa kama ambavyo huwa unaandaa wewe hivyo hatukupi 100% ya ushindi kutoka kwetu zaidi sana chaguzi za timu ambazo tunaziona zina uwezekano mkubwa wa kuleta matokeo kwa kile ambacho tunakua tumekiandaa katika option husika.
SOMA ZAIDI: Nini maana ya GG, over/under 0.5 and over/under 1.5 kwenye kubashiri mpira wa miguu
4 Comments
Unyama apo uwakik
yanga iko pow
Mwendo wakipigo
Mkeka umetulia