Michuano ya kufuzu kwa Kombe la Dunia la mwaka 2026 barani Afrika imeanza Jumatano, tarehe 15 Novemba, huku nchi zikipambana kuwania nafasi za kushiriki michuano hiyo itakayofanyika nchini Marekani, Canada, na Mexico.
Siku za mwanzo mbili za mechi zitachezwa wakati wa mapumziko ya kimataifa katika kipindi cha siku saba zijazo huku timu zikiwania nafasi zao katika mashindano hayo ya kimataifa.
Timu tisa za Kiafrika zinahakikishiwa kushiriki Kombe la Dunia.
Nyingine moja itashiriki katika Mashindano ya Kufuzu kama sehemu ya mashindano hayo ya kimataifa yatakayoshirikisha timu 48 kwa mara ya kwanza kabisa.
Hapa chini ni ratiba ya mechi zitakazopigwa katika kipindi cha siku saba zijazo (masaa ya kuanza mechi ni kwa saa za eneo husika).
Tarehe 15 Novemba
Equatorial Guinea 1-0 Namibia (Kundi H) | 1400 | Malabo, Equatorial Guinea
Rwanda 0-0 Zimbabwe (Kundi C) | 1500 | Butare, Rwanda
Congo DR 2-0 Mauritania (Kundi C) | 1500 | Butare, Rwanda
Ethiopia 0-0 Sierra Leone (Kundi A) | 2000 | El Jadida, Morocco
Tarehe 16 Novemba
Botswana 2-3 Msumbiji (Kundi G) | 1500 | Francistown, Botswana
Burundi 3-2 Gambia (Kundi F) | 1600 | Dar Es Salaam, Tanzania
Gabon 2-1 Kenya (Kundi F) | 1700 | Franceville, Gabon
Nigeria 1-1 Lesotho (Kundi C) | 1700 | Uyo, Nigeria
Algeria 3-1 Somalia (Kundi G) | 1700 | Baraki, Algeria
Cape Verde 0-0 Angola (Kundi D) | 1800 | Praia, Cape Verde
Misri 6-0 Jibuti (Kundi A) | 1800 | Cairo, Misri
Sudan 1-1 Togo (Kundi B) | 1800 | Benina, Libya
Tarehe 17 Novemba
Guinea 2-1 Uganda (Kundi G) | 1400 | Berkane, Morocco
Eswatini 0-1 Libya (Kundi D) | 1500 | Nelspruit, Afrika Kusini
Liberia 0-1 Malawi (Kundi H) | 1600 | Paynesville, Liberia
Ghana 1-0 Madagascar (Kundi I) | 1600 | Kumasi, Ghana
Comoros 4-2 Jamhuri ya Afrika ya Kati (Kundi I) | 1600 | Moroni, Comoros
Zambia 4-2 Congo (Kundi E) | 1800 | Ndola, Zambia
Côte d’Ivoire 9-0 Shelisheli (Kundi F) | 1900 | Ebimpe, Côte d’Ivoire
Mali 3-1 Chad (Kundi I) | 1900 | Bamako, Mali
Tunisia 4-0 Sao Tome e Principe (Kundi H) | 2000 | Rades, Tunisia
Cameroon 3-0 Mauritius (Kundi D) | 2000 | Douala, Cameroon
Burkina Faso 1-1 Guinea Bissau (Kundi A) | 2000 | Marrakesh, Morocco
Tarehe 18 Novemba
Afrika Kusini 2-1 Benin (Kundi C) | 1500 | Durban, Afrika Kusini
Niger 0-1 Tanzania (Kundi E) | 1700 | Marrakesh, Morocco
Senegal 4-0 Sudan Kusini (Kundi B) | 1900 | Diamniadio, Senegal
Siku ya Mechi ya Pili
Tarehe 19 Novemba
Zimbabwe 1-1 Nigeria (Kundi C) | 1500 | Butare, Rwanda
Msumbiji 0-2 Algeria (Kundi G) | 1500 | Maputo, Msumbiji
Burundi 1-2 Gabon (Kundi F) | 1600 | Dar Es Salaam, Tanzania
Sierra Leone 0-2 Misri (Kundi A) | 1600 | Paynesville, Liberia
Sudan 1-0 Congo DR (Kundi B) | 1800 | Benina, Libya
Tarehe 20 Novemba
Jibuti 0-1 Guinea Bissau (Kundi A) | 1500 | Cairo, Misri
Liberia 0-1 Equatorial Guinea (Kundi H) | 1600 | Paynesville, Liberia
Shelisheli 0-5 Kenya (Kundi F) | 1900 | Abidjan, Côte d’Ivoire
Gambia 0-2 Côte d’Ivoire (Kundi F) | 1900 | Dar Es Salaam, Tanzania
Mali 1-1 Jamhuri ya Afrika ya Kati (Kundi I) | 1900 | Bamako, Mali
Chad 0-3 Madagascar (Kundi I) | 2000 | Oujda, Morocco
Tarehe 21 Novemba
Somalia 0-1 Uganda (Kundi G) | 1400 | Berkane, Morocco
Botswana 1-0 Guinea (Kundi G) | 1500 | Francistown, Botswana
Malawi 0-1 Tunisia (Kundi H) | 1500 | Lilongwe, Malawi
Eswatini 0-2 Cape Verde (Kundi D) | 1500 | Nelspruit, Afrika Kusini
Rwanda 2-0 Afrika Kusini (Kundi C) | 1500 | Butare, Rwanda
Lesotho 0-0 Benin (Kundi C) | 1500 | Durban, Afrika Kusini
Tarehe 21 Novemba
Sudan Kusini 0-0 Mauritania (Kundi B) | 1600 | Diamniadio, Senegal
Togo 0-0 Senegal (Kundi B) | 1600 | Lome, Togo
Sao Tome e Principe 0-2 Namibia (Kundi H) | 1700 | Agadir, Morocco
Libya 1-1 Cameroon (Kundi D) | 1800 | Benina, Libya
Comoros 1-0 Ghana (Kundi I) | 1900 | Moroni, Comoros
Niger 2-1 Zambia (Kundi E) | 2000 | Marrakesh, Morocco
Mauritius 0-0 Angola (Kundi D) | 2000 | Saint Pierre, Mauritius
Ethiopia 0-3 Burkina Faso (Kundi A) | 2000 | El Jadida, Morocco
Tanzania 0-2 Morocco (Kundi E) | 2200 | Dar Es Salaam, Tanzania
Soma zaidi: Habari zetu kama hizi hapa
1 Comment
Pingback: Yafahamu Mambo Haya Kuelekea Kombe La Dunia La 2026 - Kijiweni