Mashindano ya kufuzu kwa Kombe la Dunia la mwaka wa 2026 barani Afrika yameanza Jumatano tarehe 15 Novemba huku nchi zikifuatilia nafasi za kushiriki katika mashindano hayo yatakayofanyika Marekani, Canada, na Mexico.
Siku za kwanza mbili za mechi zitachezwa wakati huu wa mapumziko ya kimataifa katika kipindi cha siku saba zijazo huku timu zikifuatilia nafasi zao kwa mashindano ya kimataifa.
Timu tisa za Afrika zinahakikishiwa kushiriki Kombe la Dunia.
Nyingine itashiriki katika Mashindano ya Play-off ambayo yatakuwa na timu 48 kwa mara ya kwanza kabisa.
Hapa chini ni ratiba ya mechi zitakazochezwa katika kipindi cha siku saba zijazo (muda wa kuanzia mechi utakuwa kwa wakati wa eneo husika).
Siku ya Mechi ya 1
15 Novemba
Equatorial Guinea 1-0 Namibia (Kundi H) | 1400 | Malabo, Equatorial Guinea
Rwanda 0-0 Zimbabwe (Kundi C) | 1500 | Butare, Rwanda
Congo DR 2-0 Mauritania (Kundi C) | 1500 | Butare, Rwanda
Ethiopia 0-0 Sierra Leone (Kundi A) | 2000 | El Jadida, Morocco
16 Novemba
Botswana 2-3 Msumbiji (Kundi G) | 1500 | Francistown, Botswana
Burundi 3-2 Gambia (Kundi F) | 1600 | Dar Es Salaam, Tanzania
Gabon 2-1 Kenya (Kundi F) | 1700 | Franceville, Gabon
Nigeria 1-1 Lesotho (Kundi C) | 1700 | Uyo, Nigeria
Algeria 3-1 Somalia (Kundi G) | 1700 | Baraki, Algeria
Cape Verde 0-0 Angola (Kundi D) | 1800 | Praia, Cape Verde
Misri 6-0 Djibouti (Kundi A) | 1800 | Cairo, Misri
Sudan 1-1 Togo (Kundi B) | 1800 | Benina, Libya
17 Novemba
Guinea 2-1 Uganda (Kundi G) | 1400 | Berkane, Morocco
Eswatini 0-1 Libya (Kundi D) | 1500 | Nelspruit, Afrika Kusini
Liberia 0-1 Malawi (Kundi H) | 1600 | Paynesville, Liberia
Ghana 1-0 Madagascar (Kundi I) | 1600 | Kumasi, Ghana
Comoros 4-2 Jamhuri ya Afrika ya Kati (Kundi I) | 1600 | Moroni, Comoros
Zambia 4-2 Congo (Kundi E) | 1800 | Ndola, Zambia
Côte d’Ivoire 9-0 Shelisheli (Kundi F) | 1900 | Ebimpe, Côte d’Ivoire
Mali 3-1 Chad (Kundi I) | 1900 | Bamako, Mali
Tunisia 4-0 Sao Tome e Principe (Kundi H) | 2000 | Rades, Tunisia
Cameroon 3-0 Mauritius (Kundi D) | 2000 | Douala, Cameroon
Burkina Faso 1-1 Guinea Bissau (Kundi A) | 2000 | Marrakesh, Morocco
18 Novemba
Afrika Kusini 2-1 Benin (Kundi C) | 1500 | Durban, Afrika Kusini
Niger 0-1 Tanzania (Kundi E) | 1700 | Marrakesh, Morocco
Senegal 4-0 South Sudan (Kundi B) | 1900 | Diamniadio, Senegal
Siku ya Mechi ya 2
19 Novemba
Zimbabwe 1-1 Nigeria (Kundi C) | 1500 | Butare, Rwanda
Msumbiji 0-2 Algeria (Kundi G) | 1500 | Maputo, Msumbiji
Burundi 1-2 Gabon (Kundi F) | 1600 | Dar Es Salaam, Tanzania
Sierra Leone 0-2 Misri (Kundi A) | 1600 | Paynesville, Liberia
Sudan 1-0 Congo DR (Kundi B) | 1800 | Benina, Libya
20 Novemba
Djibouti vs. Guinea Bissau (Kundi A) | 1500 | Cairo, Misri
Liberia vs. Equatorial Guinea (Kundi H) | 1600 | Paynesville, Liberia
Shelisheli vs. Kenya (Kundi F) | 1900 | Abidjan, Côte d’Ivoire
Gambia vs. Côte d’Ivoire (Kundi F) | 1900 | Dar Es Salaam, Tanzania
Mali vs. Jamhuri ya Afrika ya Kati (Kundi I) | 1900 | Bamako, Mali
Chad vs. Madagascar (Kundi I) | 2000 | Oujda, Morocco
21 Novemba
Somalia vs. Uganda (Kundi G) | 1400 | Berkane, Morocco
Botswana vs. Guinea (Kundi G) | 1500 | Francistown, Botswana
Malawi vs. Tunisia (Kundi H) | 1500 | Lilongwe, Malawi
Eswatini vs. Cape Verde (Kundi D) | 1500 | Nelspruit, Afrika Kusini
Rwanda vs. Afrika Kusini (Kundi C) | 1500 | Butare, Rwanda
Lesotho vs. Benin (Kundi C) | 1500 | Durban, Afrika Kusini
South Sudan vs. Mauritania (Kundi B) | 1600 | Diamniadio, Senegal
Togo vs. Senegal (Kundi B) | 1600 | Lome, Togo
Sao Tome e Principe vs. Namibia (Kundi H) | 1700 | Agadir, Morocco
Libya vs. Cameroon (Kundi D) | 1800 | Benina, Libya
Comoros vs. Ghana (Kundi I) | 1900 | Moroni, Comoros
Niger vs. Zambia (Kundi E) | 2000 | Marrakesh, Morocco
21 Novemba
Mauritius vs. Angola (Kundi D) | 2000 | Saint Pierre, Mauritius
Ethiopia vs. Burkina Faso (Kundi A) | 2000 | El Jadida, Morocco
Tanzania vs. Morocco (Kundi E) | 2200 | Dar Es Salaam, Tanzania
Soma zaidi: Habari zetu kama hizi hapa