Shirikisho la Mpira wa miguu barani Afrika (CAF) limetangaza vipengele na wachezaji wanaowania ndani ya vipengele hivyo katika Tuzo zitakazofanyika tarehe 11/12/2023.
Katika vipengele hivyo CAF imepita katika maeneo yote ambapo ni kuanzia ngazi ya klabu na ngazi za timu ya Taifa ikiwa ni kwa upande wa wanawake na upande wa wanaume wanaowania tuzo hizo.
Vipengele hivyo na wanaowania ni kama ifuatavyo:
a) Timu Bora Ya Taifa Ya Mwaka Upande Wa Wanawake
1: MOROCCO
2: NIGERIA
3: SOUTH AFRICA
b) Timu Bora Ya Taifa Ya Mwaka Upande Wa Wanaume
1: MOROCCO
2: SENEGAL
3: THE GAMBIA
c) Klabu Bora Ya Mwaka Kwa Wanawake
1: AS FAR ( Morocco)
2: SPORTING CASABLANCA ( Morocco)
3: MAMELODI SUNDOWNS ( South Africa)
d)Klabu Bora Ya Mwaka Kwa Wanaume
1: AL AHLY ( Egypt)
2: WYDAD AC ( Morocco)
3: MAMELODI SUNDOWNS ( South Africa)
e)Kocha Bora Wa Mwaka Kwa Wanawake
1: REYNALD PEDROS ( MOROCCO)
2: DESIREE ELLIS ( South Africa)
3: JERRY TSHABALALA ( South Afric)
f) Kocha Bora Wa Mwaka Kwa Wanaume
1: ABDELHAK BENCHIKHA ( Algeria)
2: WALID REGRARUI ( Morocco)
3: ALIOU CISSE ( Senegal)
g) Golikipa Bora Wa Mwaka Kwa Wanawake
1: KHADIJA ER-RMICHI ( Morocco)
2: CHIAMAKA NNADOZIE ( Nigeria)
3: ANDILE DLAMINI ( South Africa)
h) Golikipa Bora Wa Mwaka Kwa Wanaume
1: ADRE ONANA ( Cameroon)
2: MOHAMED EL SHENAWY ( Egypt)
3: YASSINE BOUNOU( Morocco)
i) Mchezaji Bora Chipukizi Wa Ndani Kwa Wanawake
1: COMFORT YEBOAH ( Ghana)
2: NESRYNE EL CHAD ( Morocco)
3: DEBORAH ABIODUN( Nigeria)
j) Mchezaji Bora Chipukizi Wa Ndani Kwa Wanaume
1: ABDESSAMAD EZZALZOULI ( Morocco)
2: LAMINE CAMARA ( Senegal)
3: AMARA DIOUF ( Senegal)
k ) Mchezaji Bora Wa Ndani Vilabu Kwa Wanawake
1: REFILE THOLAKELE ( Botswana)
2: FATIMA TAGNAOUT ( Morocco)
3: LEBOHANG RAMALEPE ( South Africa)
l) Mchezaji Bora Wa Ndani Vilabu Kwa Wanaume
1: FISTON MAYELE ( DR Congo)
2: PETER SHALULILE ( Namibia)
3: PERCY TAU ( South Africa)
Sherehe za ugawaji wa tuzo hizi utafanyika tarehe 11/12/2023 katika jiji la Marakech nchini Morocco.
Unaweza kupitia taarifa zetu mbalimbali kuhusu bara la afrika upande wa michezo kwa kugusa hapa.
1 Comment
Pingback: YANGA Kulipa Kisasi Kwa MEDEAMA Leo? - Kijiweni