Subscribe to Updates
Get the latest updates from Kijiweni.
Browsing: Stori Mpya
Wakati wengi wakisubiri kutazama fainali ya michuano ya mataifa barani Afrika ambayo inawakutanisha wenyeji Ivory Coast dhidi ya Nigeria kumekua na wachezaji wengi ambao wamekua wakijadiliwa…
Ni mechi ambayo wanakutana mabingwa wa zamani wa michuano hii na kila mmoja akihitaji kuongeza idadi ya makombe katika kabati la timu yake ya taifa ni…
Tuimalize wikiendi na mkeka wa leo wenye timu 13 kutoka ligi kubwa mbalimbali duniani na timu zinazofahamika ikiwemo ligi kuu ya Uingereza maarufu kama EPL. Kumbuka…
Leo ni ile siku ambayo bila shaka waafrika kusini na wakongo watakua makini kabisa bila kusahau mashabiki wa soka barani Afrika kutazama mtanange wa kutafuta mshindi…
Ukiachilia mbali fainali ya michuano ya mataifa barani Afrika ambayo inasubiriwa kwa hamu kubwa na mashabiki wa soka barani Afrika ili kuona nani atakua bingwa lakini…
Wikiendi si ndio hii? Ushindwe wewe tu mkeka wa leo wenye timu 12 kutoka ligi kubwa mbalimbali duniani na timu zinazofahamika ikiwemo ligi kuu ya Ujerumani maarufu kama…
Kwa dakika 90 za Mzizima Derby unaweza kusema kuwa Azam FC walikuwa bora sana kwenye mipir ya kushtukiza huku wakiwa na kasi kubwa sana katika kushambulia…
Kuna wakati unaweza kujiuliza wana shida gani na wanakosa nini lakini ukiona namna ambavyo wanaishi na jinsi ambavyo walivyo katika mazingira mazuri kabisa kimpira unashangaa na…
Moja kati ya mechi ambayo bila shaka watu wengi kwa maoni yao walitamani iwe ndio fainali yenyewe ni mchezo wa AFCON uliowakutanisha Nigeria dhidi ya Afrika…
Tunaianza wikiendi mapema na mkeka wa leo ijumaa ijumaa kutoka Kijiweni wenye odds zaidi ya 200 na timu 11 kutoka ligi mbalimbali duniani ikiwemo ligi kuu…