Browsing: Stori Mpya

MSALA

Ilipoishia “Muhonzi akafanikiwa kukata kamba alivyofungwa, giza lilikua nene ndani ya Chumba  alichohifadhiwa, akajaribu kuchungulia dirishani kwa mtindo wa kuruka sababu dirisha  lilikua juu sana lakini…

MSALA

Ilipoishia “Sijapata kumwona Mwanadamu Mbishi na Mgumu kama huyu” aliutupa mkono wake  uliojaa damu kwa hasira sana kisha akarudi kuketi kitini akitafakari ni namna gani afanye…

MSALA

Ilipoishia “Mfukuzano ulikua mkali kwa hatua kadhaa, kisha ghafla yule Mwanaume alisimama,  aligeuka kisha aliliweka lile Brifkesi chini, akatabasamu na kumwambia Elizabeth  “Najua umekuja kwa ajili…

MSALA

Ilipoishia “Upande wa pili, Muhonzi alikua akiteseka ndani ya Godauni, Zagamba alimshikilia ili aipate  Nyaraka M21 kutoka kwa Elizabeth, Alikua ndani ya chumba kimoja chenye dirisha…

MSALA

Ilipoishia “Huko mahala pa siri, nataka kupajua. Nataka kujua hatma ya Familia yako Benjamin”  alisema Malkia Zandawe kisha alimsogelea ndege Gola, akazungumza naye kwa lugha za …

MSALA

“Ilipoishia” Roho ya Elizabeth ilifukuta kwa maumivu Makali sana, hapo alipaswa kufanya kazi mbili, moja ni kumwokoa MUHONZI Kutoka mikononi mwa mwenyekiti wa chama cha Upinzani…

MSALA

Ilipoishia “Hapo hapo akapiga simu moja kule Mbudya kua ameshammaliza Rais Mbelwa, mwili wake ukavutwa hadi eneo la chini ambako alikua akitesa na Kuuwa Watu, huku…