Subscribe to Updates
Get the latest updates from Kijiweni.
Browsing: Ligi Kuu | Soka la Bongo
Skudu Makudubela ni miongoni mwa wachezaji ambao wanapata wakati mgumu kupenya kwenye Kikosi cha kwanza cha Miguel Angel Gamondi kwa sababu kocha huyu ukimtazama lakini pia…
Yanga imewachukua muda mrefu Sana kupata mlinda mlango mzuri na mwenye ubora mkubwa Sana kama ilivyo Kwa huyu mlinda mlango wao wa Sasa Djigui Diarra. Wamepita…
Habari Mhariri, Nikiwa na afya njema kabisa na amani ya moyo, Napenda barua hii iwafikie viongozi wa klabu ya Simba maana kinachoendelea ndani ya uongozi matokeo…
Kilichofanywa na mchezaji Fiston Mayele ichukuliwe kama funzo kwa sajili zingine. Nafiriki viongozi wa Yanga SC hawakuwahi kujifunza juu ya baadhi ya nyota ambao hua wanawasajili…
Utulivu ndani ya klabu ni timu kutwaa mataji kama hilo likikosekana lazima mchafuko utokee tu na ndio hicho ambacho kinawatafuna klabu ya Simba kwa sasa. Mo…
Kuna watu walizungumza mengi baada ya Nasredine Nabi kuachana na Yanga na kwenda kutafuta malisho mema zaidi. Kuna watu walijua mwisho wa Yanga kutamba umefika. Ni…
Tajiri, kijana wako niliendelea kusubiri ile Suuu lakini mpaka sasa bado hujasema lolote, Tajiri mimi bado nasubiri. Najua moyo wako ulivyo na mapenzi mema na Simba…
Mhariri katika pitapita zangu mtandaoni nimekutana na chapisho la mchambuzi lakini pia ni shabiki wa klabu ya Simba Farhan Kihamu ambapo anasema haya yafuatayo: MCHAKATO WA…
Timu zetu zote (Yanga na Simba) zimetolewa zote kwenye mashindano ya klabu bingwa Afrika (CAF Champion League), klabu ya Yanga imetolewa na Mamelodi Sundowns ya Afrika…
Maswali na shauku kubwa hivi sasa kutoka nyumbani Tanzania ni michezo ya mkondo wa pili wa ligi ya mabingwa barani Afrika hatua ya robo fainali ambayo…