Subscribe to Updates
Get the latest updates from Kijiweni.
Browsing: Ligi Kuu | Soka la Bongo
Moja kati ya siku ambayo bila shaka ilikua inasubiriwa kwa hamu kubwa na mashabiki wa soka Tanzania ni mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara kati ya…
Kwa heshima na taadhima nakuandikia barua mwamuzi Ahmed Arajiga, Natumai barua hii inakukuta wewe na afya njema na ukiwa na ari kubwa zaidi kuelekea mchezo mkubwa…
Moja ya eneo ambalo kikosi cha Yanga SC kimekuwa imara zaidi basi ni eneo lake la katikati uwepo wa viungo wakabaji wazuri wenye kasi na nguvu…
Ilimchukua msimu mmoja na nusu kuhudumu kwenye kikosi cha vijana cha timu hiyo na baada ya hapo nyota yake ilianza kung’ara akianzia kwenye kikosi cha timu…
Ndugu Mhariri leo naomba kuandika kuhusu jambo ambalo wengi hawalizungumzi haswa kuhusu beki wetu Inonga. Nimefuatilia sana barua zako ambazo umekua ukizichapisha hapa Kijiweni na nimeona…
Tunaelekea mchezo mkubwa wa ligi kuu Tanzania Bara unaowakutanisha vigogo wa soka kwa hapa Tanzania. Kila mmoja atakua na kikosi chake kichwani kwake sasa tunakupa nafasi…
Ligi kuu ya NBC imefikia mzunguko wa 22 ikiwa ni raundi ya pili ya msimu huu 2023/2024 msimu ambao umekuwa na mabadiliko makubwa sana kuanzia viwanja,…
Kwako Mo Dewji Natumai barua hii inakufikia wewe na familia yako katika afya njema na ustawi wa kiroho na kimwili. Napenda kutumia fursa hii kuelezea mawazo…
Kocha mkuu wa wekundu wa msimbazi yaani klabu ya Simba Abdelhak Benchikha ni miongoni mwa makocha wenye CV kubwa barani Afrika lakini pia na uzoefu ukichangiwa…
Wakati Simba ikiianza wiki ya Dabi ya Kariakoo kinyonge baada ya sare ya 1-1 na Ihefu katika mechi ya jana, watani wao Yanga wameongeza mzuka baada…