Subscribe to Updates
Get the latest updates from Kijiweni.
Browsing: Ligi Kuu | Soka la Bongo
Nikiwa kama mdau wa michezo hasa Mpira wa Miguu, nashauri Serikali kufanya haya ili kuboresha kiwango cha mpira nchini, na hata ushiriki wetu kwenye mashindano yajayo…
Viongozi wa Simba wanajiroga wenyewe na kujitega kwenye mtego mbaya kwa mashabiki wao kwani ukitazama tu mtiririko wa namna ambavyo kumekua na mabadiliko ya makocha ndani…
Moja Ya muhimili mkubwa sana kwenye timu ni Uongozi imara wa timu husika lakini mafanikio yote Ya timu yanabebwa na muhimili muhimu kikosini ambapo msingi huo…
Baada ya tetesi kuvuma kuwa Kocha mkuu wa klabu ya Simba Abdelhak Benchikha ataondoka mwishoni mwa msimu kumekua na maswali mengi kwa wadau kuhusu tutegmee Simba…
Serikali ya Tanzania imeingia mkataba na kampuni ya ukandarasi kutoka China kukarabati uwanja wa Uhuru uliopo Dar es salaam kwa gharama ya shilingi bilioni 19.7. Ukarabati…
Mambo vipi mwana KIJIWENI bila shaka uko poa kabisa. Leo nina mjadala mdogo tu ambao nadhani inapaswa tujadiliane hapa na ninachotaka kusema ni kuwa kuna mastaa…
Mechi nzuri iliyoathiriwa na hali ya uwanja kwa kiasi fulani kizuri ni kuwa timu zote zilicheza hapo hapo na level ya uhitaji wa matokeo ilikuwa kubwa…
August 3 Mwaka 2018 Young Africans iliachana na jumla ya wachezaji 14 kisha wakabaki na majina ya wachezaji wasiozidi 17 ndani ya kikosi chao ambao, katika…
Mpira wa miguu ni mchezo wa hisia sana kwani ni moyo ndio huzungumza kuliko hata mdomo lakini kubwa tunalopaswa kufahamu ni kuwa palipo na hisia kubwa…
Baada ya kukaa kimya kwa muda mrefu kiasi kuizungumzia klabu ya Simba moj kati ya mashabiki wakubwa na mbunge Hamisi Kigwangalla ameibuka na waraka mzito kuhusiana…