Subscribe to Updates
Get the latest updates from Kijiweni.
Browsing: Ligi Kuu | Soka la Bongo
Saido akiwa Yanga iliishi maisha yenye furaha muda wote, aliheshimika na kuimbwa Kwa melodi tamu zisizomchosha masikio, melodi zilizoisindikizwa na nickname ya “godfather wa Bujumbura”, akiwa…
Huenda hii ndio vita yenye mvuto zaidi inayosubiriwa kati ya Feisal Salum ‘Fei Toto’ wa Azam FC na Stephane Aziz Ki wa Yanga ambao wote hadi…
Ligi Kuu Tanzania Bara mzunguko wa pili wa funga kazi unatarajiwa kuwa Mei 28 2024 kwa kila timu kusaka pointi tatu muhimu ndani ya uwanja. Ipo…
Aubin Kramo Kouamé(28) ni miongoni mwa majina ambayo Msimu huu wa mashindano unaomalizika mashabiki wa Simba na wadau wengi wa soka walitamani kumuona uwanjani, watu walitaka…
Swali langu ni dogo sana kuhusu Azam FC kukosa ubingwa wa Ligi Kuu. Kama tunaitazama Azam FC haina mvuto kwa upande wa KIBIASHARA Sasa hua tunatumiaga…
Kote duniani biashara ya mpira ndivyo ilivyo mchezaji ni kama mfanya biashara tu siku bidhaa yake ikiwa poa ndio nyakati ambayo hua anatafuta mteja ambaye ataifikia…
Ni mchezo wa Saba kwao kukutana kwenye Ligi kuu Soka Tanzania bara (Ligi kuu ya NBC) tokea timu hizo zianze kukutana, mchezo wa Leo utakuwa ni…
Klabu ya Yanga imefanikisha kutetea kikombe cha ligi kuu ya NBC msimu huu wa 2023/2024 baada ya kuibuka na ubigwa wa kombe hilo kwa mara ya…
Kama kuna mchezaji muhimu katika kikosi cha Yanga msimu huu basi ni Khalid Aucho hasa katika safu ya kiungo wa ulinzi au namba 6 mara nyingi…
Matumizi ya Nafasi yameamua Dakika 90 za Kasi na Ufundi kwa Timu zote mbili. Azam wakitumia zaidi pembeni huku Simba wakitumia Katikati na upande wa kushoto…