Subscribe to Updates
Get the latest updates from Kijiweni.
Browsing: Ligi Kuu | Soka la Bongo
Hakuna raha kubwa sana kama kumfundisha mtu kitu na akakuelewa kwa umakini sana na kufanya kile kilichofundishwa.Umuonapo moyo wako utafurahi nawe utajitanua mwanafunzi wangu yule.Duniani kila…
Ni muda sasa takribani miaka mitatu kikosi cha Simba SC kimekuwa hakina muendelezo mzuri wa kimatokeo jambo ambalo limepelekea kushindwa kuchukua mataji makubwa nchini. Mashabiki na…
Moja ya makocha ambao watakumbukwa sana ndani ya Simba SC kwa miaka ya karibuni basi ni Patrick Aussems “Uchebe” pamoja na Sven, kumbukumbu bora ua mafanikio…
Monk Adrian mzaliwa wa California nchini Marekani, huyu amejikita zaidi kwenye mambo yahusuyo utangazaji ikiwemo Televisheni ingawa si mwandishi kamili. Monk aliandika kijitabu chake mwaka 2008…
Nyakati zinasogea sana. Mambo yanayotokea unaweza ukastaajabu na kuishia kuguna tu. Mnara kwa sasa unasoma katika mitaa ya Twiga na Jangwani, Tanzania nzima na pengine Afrika…
Baadhi ya tetesi zinadai kuwa huenda kiungo wa Zambia na mchezaji wa Simba Clatous Chota Chama anaweza kujiunga na klabu ya Yanga akitokea Simba. Klabu ya…
Siku zote sio vibaya kurudia njia iliyokupa mafanikio . Tena kama njia mpya uliyoichagua imeshindwa kukupa mafanikio . Lakini swali kubwa ni je utayapata mafanikio uliyoyapata…
Wachezaji wengi walipaswa kumchukua MKUDE kisha kulifanya darasa huru huyu kwani ni mchezaji wa pekee sana na sijawahi kuwaona wachezaji wa namna hii kwa kipindi kidogo,…
Lipo jambo hapa ambalo lazima tulizungumze, kuhusu mchezaji FEISAL SALUM na watu wa Yanga SC naamini wapo baadhi ya Wachambuzi wanamuingiza kwenye chuki bila ya yeye…
Yanga katika msimu wao bora wa 2023 / 2024 hakuna timu iliyowapa changamoto kama klabu ya Azam hii ni kutokana na uwezo mzuri wa wachezaji wa…