Subscribe to Updates
Get the latest updates from Kijiweni.
Browsing: Ligi Kuu | Soka la Bongo
Vijana wa Afrika “Yanga” wamekuwa timu ya kwanza kutoka Tanzania katika kipindi cha miaka 30 kufika fainali ya mashindano ya klabu ya bara walipoipiga Marumo Gallants…
Taarifa za kiungo mshambuliaji, Hassan Dilunga kuhusishwa kwenye usajili wa msimu ujao wa Ligi Kuu Bara na JKT Tanzania huenda mambo yakabadilika kwani mchezaji huyo anaweza…
Klabu ya Simba imeanza harakati za kuimarisha kikosi chake na miongoni mwa nyota wanaotajwa kuwa katika mpango wa kuwanasa ni winga wa Geita Gold, Edmund John…
Klabu ya Marumo Gallants yenye kutafuta nafasi ya kubaki katika ligi ya DStv Premiership, imefanikiwa kuitoa klabu ya Pyramids ya Misri katika michuano ya CAF Confederation…
Safari ya kutafuta bingwa mpya wa TotalEnergies CAF Confederation Cup imepunguzwa baada ya robo fainali nzuri sana iliyopigwa mwishoni mwa wiki. Sasa timu nne zimefuzu kuingia…
Katika mechi za nusu fainali ya kwanza siku ya Jumatano, Young Africans ya Tanzania itawakaribisha Marumo Gallants ya Afrika Kusini na ASEC Mimosas ya Ivory Coast…
Ligi Kuu Bara kati ya Namungo na Simba umemalizika kwenye Uwanja wa Majaliwa mkoani Lindi kwa timu hizo kufungana bao 1-1. Katika mchezo huu Simba ilikuwa…
Young Africans, maarufu kama Yanga, ni timu ya kwanza ya Tanzania kutinga nusu fainali katika michuano ya Kombe la Shirikisho la Soka Afrika (CAF) sawa na…
Mabingwa wa Nigeria, Rivers United wameondolewa katika michuano ya Kombe la Shirikisho la Soka Afrika (CAF Confederation Cup) na Young Africans ya Tanzania. Kikosi cha Stanley…
Simba itashuka dimbani leo kuanzia saa tisa alasiri kwa saa za Tanzania kwenye Uwanja wa Stade Mohamed V mjini Casablanca, Morocco. Tayari wachezaji wa Simba wamewasili…