Subscribe to Updates
Get the latest updates from Kijiweni.
Browsing: Ligi Kuu | Soka la Bongo
Klabu inaposajili mchezaji inakuwa na malengo ya kufaidika na huduma yake, bahati mbaya wengi wao wanashindwa kutimiza kusudi wakikabiliwa na changamoto kama majeraha na kukosa ushindani…
Kocha Mkuu wa Simba SC Robert Oliveira ‘Robertinho’ ametamba kwamba endapo Simba itafanya usajili ambao amezungumza na mabosi wake Kuna uwezekano mkubwa wekundu hao wakampiga mtu…
Kocha Mkuu wa Yanga Nasreddine Nabi amesema almanusura azimie baada ya wapinzani wao USM Alger kupata penalti katika fainali ya pili, hapo hapo anafanya maamuzi magumu…
Wakati Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara 2022/23 ikifikia mwisho Ijumaa ya Juni 9, 2023, Mdhamini Mkuu wa ligi hiyo, Benki ya Taifa ya Biashara (NBC)…
Bodi ya Ligi Kuu imetengaza mechi zote za mwisho kumalizia msimu Juni 9 zitachezwa saa 9:30 alasiri badala ya saa 10:00 jioni. Katika taarifa waliyotoa, wamesema…
Klabu ya Gor Mahia ya nchini Kenya imeanza mazungumzo na beki wa Simba, Joash Onyango kwa ajili ya msimu ujao. Beki huyo raia wa Kenya licha…
Baada ya kiungo wa Simba, Saido Ntibazonkiza kumsogelea kwa ufungaji mshambuliaji Fiston Mayele wa Yanga mwenye mabao 16 na yeye 15, uongozi wa Simba umetoa neno.…
YAWEZEKANA kabla ya jua kuzama leo Jumatano Juni 7, Feisal Salum ‘Fei Toto’ atatambulishwa rasmi ndani ya Azam. Licha ya Azam kufanya siri, lakini tetesi zinasema…
Ni Baada ya kumaliza katika nafasi ya pili katika Kombe la Shirikisho la CAF. Yanga walikosa taji la Kombe la Shirikisho la CAF kwa kanuni ya…
Rais Samia Suluhu Hassan ameilipia klabu ya Yanga ndege maalumu ya kuwapeleka mkoani Mbeya kucheza michezo yao miwili ya Ligi Kuu Bara kutokana na mwingiliano wa…