Subscribe to Updates
Get the latest updates from Kijiweni.
Browsing: Ligi Kuu | Soka la Bongo
NMB Bank na uongozi wa Young Africans (Yanga) wamewataka wafuasi wa timu hiyo kuchukua uanachama wao kwa kujiandikisha kupitia huduma mpya iliyozinduliwa. Wito huo umetolewa na…
Saido Ntibazonkiza, Clatous Chama na Shomary Kapombe walikuwa wakila bata makwao kipindi hiki cha mapumziko, lakini ghafla wakapigiwa simu na mabosi wao na kutakiwa kukatisha likizo…
Uongozi wa Geita Gold umeweka wazi timu hiyo itaachana na mastaa 10 ambao hawatokuwa tena sehemu yao msimu ujao, huku miongoni mwa waliofyekwa ni Mjapani, Shinobu…
Klabu ya Singida FG imepokea hundi ya Sh50 milioni ambayo ni bonasi kutoka kwa wadhamini wao Sportpesa. Sportpesa imetoa pesa hiyo baada ya klabu ya Singida…
Muda wowote kuanzia sasa zinaweza kusikia habari za kushtua. Jonas Mkude yuko kwenye mazungumzo na Yanga na atasaini mkataba wa kazi. Mkude ambaye aliichezea Simba kwa…
Simba Wana Jambo lao..! Kiungo mshambuliaji wa Singida, raia wa Brazil Bruno Gomes ameitwa jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kumalizana na mabosi hao wa…
Ni KMC ambao wamefanikiwa kubaki Ligi Kuu msimu ujao kwa kuwafunga Mbeya City kipigo cha mabao 2-0 ikiwa ni mchezo wa marudiano uliofanyika katika uwanja wa…
Kocha wa Simba, Juma Mgunda amefafanua maneno yanayotembea mitandaoni kwamba si sehemu ya kikosi kipya cha Mnyama. Kauli hiyo imekuja siku chache baada ya kujiridhisha kwamba…
Baada ya kutetea taji lao la Kombe la Shirikisho la Azam (ASFC), mabosi wa Yanga wamesema katika uongozi wao wapo tayari kumuuza mchezaji yeyote ambaye watapokea…
Aprili 20, 2021 Kocha Nasreddine Nabi akitokea Tunisia alitua Dar es Salaam na kusaini mkataba wa mwaka mmoja na nusu kuitumikia Yanga na safari ya mafanikio…