Subscribe to Updates
Get the latest updates from Kijiweni.
Browsing: Ligi Kuu | Soka la Bongo
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limeiondolea klabu ya Yanga adhabu ya kufungiwa kusajili wachezaji baada ya kumlipa aliekua mchezaji wake Gael Bigirimana. Taarifa hiyo…
Klabu ya soka ya wanawake ya Simba ( Simba Queen) imefanikiwa kutwaa Ngao Ya Jamii mwaka 2023 kwa JKT Queens kwa penati 5:4 kufuatia sare ya…
Bila shaka leo ndie ile siku ambayo mashabiki wengi wa soka Tanzania Bara wanasubiri kutazama mechi ya fainali ya Ngao ya Jamii kwa mwaka 2023 inayowakutanisha…
Ligi kuu Tanzania Bara (NBC Premier League) imeendelea kushika hatamu na rekodi mblimbali zikiendelea kuwekwa katika ligi hiyo. Mpaka sasa anayeongoza ligi ni Azam Fc akiwa…
Wizara ya Utamaduni Sanaa na Michezo imewasilisha malalamiko rasmi kwa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) na kuwataka klabu ya Yanga kugharamia uharibifu uliofanyika uwanja…
Kuelekea msimu mpya wa ligi kuu ya wanawake Tanzania Bara, michuano ya ngao ya jamii ambayo msimu huu imekuja kwa muundo wa vilabu 4 kukutana hatua…
Klabu ya Azam imeendelea kuonesha balaa lao katika ligi kuu Tanzania bara kwa kuwafunga klabu ya KMC Mabao 5 kwa 0. KMC walipoteza idadi kama hiyo…
Klabu ya soka ya Singida Fountain Gate imetangaza rasmi kuhamia katika uwanja wa Black Rhino Academy uliopo wilaya ya Karatu mkoani Arusha. Kupitia kwa mkuu wa…
Mchambuzi wa soka na mchezaji mkongwe wa Tanzania, Amri Kiemba kupitia kurasa zake za mitandao ya kijamii ameamua kuibuka na kutoa maoni yake kuhusu kile kinachoendelea…
Klabu ya Simba leo imekabidhi msaada kwa ajili ya wahanga wa mafuriko na maporomoko yalitokea katika Wilaya ya Hanang mkoani Manyara mwishoni mwa juma lililopita. Mwenyekiti…