Subscribe to Updates
Get the latest updates from Kijiweni.
Browsing: Ligi Kuu | Soka la Bongo
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limeufungulia uwanja wa Ali Hasan Mwinyi ulioko Tabora kutumika katika mechi za ligi baada ya kukidhi vigezo vya kikanuni…
Ligi Kuu ya Wanawake Tanzania Bara imeanza rasmi huku mabingwa watetezi, JKT Queens na washindani wao wa karibu, Simba Queens wakianza kwa kugawa dozi nzito. Timu…
Mchezo wa ligi kuu Tanzania Bara uliowakutanisha mabingwa watetezi Yanga SC, umemalizika kwa Yanga kuendeleza ubabe katika Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara baada ya ushindi…
Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) Wallace Karia amesema kuwa wamepokea mashine za VAR zitakazotumika kuratibu soka la Tanzania Bara kutoka Shirikisho la…
Klabu ya soka ya Simba imeibuka na ushindi wa mabao 3:0 dhidi ya Kagera Sugar katika mchezo wa ligi kuu Tanzania Bara uliofanyika uwanja wa Uhuru…
Michuano ya kombe la shirikisho la Azam (ASFC) raundi ya pili msimu wa 2023/2024 imeendelea kwa michezo kadhaa kuchezwa katika viwanja mbalimbali na matokeo kuweza kuchezwa.…
Mchezo wa kimataifa wa kirafiki uliowakutanisha klabu ya Azam kutoka Tanzania pamoja na Al Hilal kutoka Sudan umemalizika kwa klabu hizo kutoka sare ya kufungana goli…
Klabu ya soka ya Yanga imemtambulisha mtaalamu wa kusoma mchezo Mpho Maruping raia wa Afrika Kusini baada ya kutokua na mtaalamu kama huyo tangu kuondoka kwa…
Kuelekea hamasa za mchezo wa makundi klabu bingwa barani Afrika utakaowakutanisha klabu ya Simba dhidi ya Wydad kutoka Morocco Meneja Habari na Mawasiliano wa klabu ya…
Klabu ya soka ya Simba imetangaza rasmi viingilio vya mchezo utakaowakutanisha Simba dhidi ya Wydad katika dimba la Benjamin Mkapa tarehe 19. Taarifa hiyo kutoka kwa…