Subscribe to Updates
Get the latest updates from Kijiweni.
Browsing: Ligi Kuu | Soka la Bongo
Ujio wa mchezaji Augustine Okrah katika kikosi cha Yanga unaelezwa unahitimisha maisha ya beki wa kati kutoka Uganda, Gift Fred ambaye tangu asajiliwe hajapata nafasi ya…
Klabu ya soka ya Azam wameufunga mwaka rasmi kwa kutangaza kufikia makubaliano na klabu ya El Mereikh kwa ajili ya kumsajili kipa wao wa kimataifa wa…
Ligi Kuu ya NBC imesimama kwa takribani wiki tatu kupisha michuano ya Kombe la Mapinduzi inayoanza leo Visiwani Zanzibar. Wakati Ligi ikiwa imesimama tayari klabu ya…
Mchezo wa Kitayosce vs Young Africans utakuwa ugenini kwa Young Africans katika Uwanja wa Jamhuri (Dodoma) katika Ligi Kuu Bara ya Tanzania. Mchezo huu utaanza saa…
Ligi ya NBC inaendelea leo, Katika mechi za hivi karibuni kati ya Kinondoni MC vs Simba SC, timu hizi zimecheza jumla ya mechi 10. Kinondoni MC…
Klabu ya soka ya Kagera Sugar kutoka mkoani Kagera imetangaza rasmi kuachana na Kocha Mkuu Meck Maxime pamoja na kocha wa viungo Francis Mkanula. Kupitia taarifa…
Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo imesema imepokea taarifa ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) ya kuufungia uwanja wa Uhuru kutotumiwa katika michezo inayoendelea…
Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) imeahirisha michezo saba ya Ligi Kuu ya NBC ili kupisha mchezo kati ya timu ya Taifa ya Zanzibar (Zanzibar Heroes)…
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limeufungia uwanja wa Uhuru , Dar Es Salaam kutumika kwa michezo ya Ligi kwa kukosa vigezo vya kikanuni na…
Uongozi wa klabu ya Simba kupitia kwa Mtendaji Mkuu wa klabu umewasimamisha wachezaji Nassor Kapama na Clatous Chota Chama kutokana na vitendo vya Utovu wa nidhamu.…