Subscribe to Updates
Get the latest updates from Kijiweni.
Browsing: Ligi Kuu | Soka la Bongo
Michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) ni mojawapo ya matukio makubwa ya soka barani Afrika. Timu kutoka kote barani hushiriki katika mashindano haya, na…
Soka, kama mchezo wa kimataifa, umekuwa njia kuu inayowasukuma vijana wa Kitanzania kuelekea kwenye malengo yao ya mafanikio. Kwa wengi, ndoto ya kucheza soka barani Ulaya…
Baada ya dirisha dogo la usajili Tanzania bara kufungwa na timu kadhaa zikiwa zimekwishafanya maboresho kadha wa kadha katika vikosi vyao kumeibuka mada nzito ambayo imekua…
Safari ya Pa Omar Jobe katika ulimwengu wa soka, Alizaliwa tarehe 26 Desemba 1998 huko Yundum, Gambia, miaka ya mwanzo ya Pa Omar Jobe iliongozwa na…
Joseph Guede, aliyezaliwa mnamo Agosti 23, 1994, huko Abidjan, Côte d’Ivoire, ni mchezaji wa soka wa kimataifa kutoka nchini humo, akiwa kwa sasa anacheza kama mshambuliaji…
Ligi ya Tanzania, inayojulikana pia kama Tanzanian Premier League (TPL), ni moja kati ya ligi maarufu za soka nchini Tanzania. Historia ya ligi hii inaanzia mwaka…
Kombe la Mapinduzi, maarufu kama Mapinduzi Zanzibar Cup, ni mashindano ya kandanda yanayofanyika kila mwaka huko Zanzibar, Tanzania. Mashindano haya yanaitwa kwa jina la neno la…
Hii ni orodha ya mwisho ya wachezaji 27 watakaovaa uzi wa Tanzania (Stars) kwenye mashindano ya AFCON imetoka huku baadhi ya wachezaji ambao walikuwemo kwenye orodha…
Makamu wa pili wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Hemed Suleiman Abbullah ameupogeza uongozi wa Klabu ya Simba kwa kuamua kutangaza Utalii wa Zanzibar kupitia michuano ya…
Rais wa Klabu ya Young Africans SC na Mwenyekiti wa Vilabu Barani Afrika, Eng Hersi Said amekutana na Rais wa Klabu ya Paris Saint-Germain (PSG) ya…