Subscribe to Updates
Get the latest updates from Kijiweni.
Browsing: Ligi Kuu | Soka la Bongo
Ukizungumzia ligi bora Afrika mashariki na kati huwezi kuacha kutaja Ligi Kuu Tanzania Bara inayofahamika kama NBC Premier League inayoleta msisimuo mkubwa zaidi miongoni mwa mashabiki…
Kabla ya kuanza kwa michuano ya mataifa barani Afrika kulitoka moja kati ya taarifa iliyoibua maswali mengi sana kwa mashabiki wa soka Tanzania taarifa ambayo ilitoka…
Baada ya kusimama kwa takribani siku 40 kupisha mashindano ya Mataifa ya Afrika (AFCON) yanayoendelea nchini Ivory Coast Ligi Kuu ya NBC inarejea tena Februari 2…
Akiwa katika hatua ya robo fainali ya michuano ya mataifa barani Afrika na timu ya taifa ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DR Congo) mlinzi wa…
Kazi kubwa ambayo inapaswa kufanyika kuelekea kwenye mashindano ya kitaifa na kimataifa ni kufanya kweli kwa kila timu kupata matokeo mazuri.Tumeona kwamba kwenye mashindano ya Kombe…
Wakati michuano ya mataifa barani Afrika (AFCON) ikianza mitazamo ya wengi ilikuwa ni ngumu kuamini mchezaji kutoka Ligi kuu ya NBC kufanya vizuri na kuonyesha thamani…
Ukizungumzia klabu kubwa za mpira wa miguu zinazopatikana katika Ligi Kuu Tanzania bara huwezi kuacha kuwataja matajiri wa jiji la Dar Es Salaam kutoka Mbande hukooo…
Ukiuzungumzia mpira wa miguu Tanzania basi huwezi kuacha kulitaja Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) chini ya Rais wake Wallace Karia ambaye anaingia katika orodha ya marais…
Wakati Rais wa klabu ya Yanga, Injinia Hersi Said anamchukua Ibrahim Bacca kutoka katika klabu ya KMKM ya Zanzibar bila shaka hakuna aliyemuelewa anafanya nini na…
Ligi ya Tanzania Bara maarufu kama (NBC Premier League) imekua ikishuhudia mambo mengi makubwa yanayozidi kuipatia umaarufu na ushindani mkubwa bila kusahau mapenzi makubwa kutoka kwa…