Subscribe to Updates
Get the latest updates from Kijiweni.
Browsing: Ligi Kuu | Soka la Bongo
Kwa Tanzania utakua ni mchezo ambao utafuatiliwa kwa kina kabisa kwa mashabiki wa Simba lakini pia na wapenda mpira kutoka hapa nchini mchezo wa makundi ligi…
Katika kila timu moja kati ya nafasi ambayo mara nyingi huwa inazingatiwa sana katika kikosi ni pamoja na nafasi ya mlinda lango au unaweza kusema golikipa…
Wakati wengi wakiwa na mawazo na maswali mengi kuhusu mchezo kati ya Yanga dhidi ya CR Belouizdad ambao utaamua hatma kubwa sana kwa klabu ya Wananchi…
Lazima tuzungumze na hatuwezi kunyamaza katika hili, kwenye uwanja zipo sheria ambazo zinaamuliwa na mwenye kuzisimamia ni mwamuzi sasa tukianza kuziamua sisi maana yake tumekosa imani…
Mchezo wa raundi ya tano kundi B ligi ya mabingwa kati ya Asec Mimosas na Simba SC utapigwa Ijumaa Februari 23 katika uwanja wa Felix Houphouet…
Nadhani katika mechi ambayo kwa hivi sasa mashabiki wa klabu ya Yanga walikua wanaisubiria kwa hamu kubwa zaidi ni mchezo wa ligi ya mabingwa barani Afrika…
Siyo kero linapotajwa jina la mchezaji Clatous Chota Chama kwa wana michezo, lazima ulitaje pindi michuano ya kimaitafa hususani Ligi ya mabingwa inapokaribia, kilichofanywa na mchezaji…
Achilia mbali umbo lake alilonalo na angalia namba ya jezi yake mgongoni kisha soma jina lake vizuri, anaitwa Awesu Awesu, fundi mmoja wa mpira kusema ukweli…
Kazi ya mpira ngumu siyo rahisi kama kuutazama kwenye kideo au unakamata karatasi lako na kubeti, ni ngumu sana pengine niwakumbushe hilo. Nilisikitika nipoona baadhi ya…
Baada ya mchezo wa kiporo wa Group D ambapo kutoka Tanzania mwakilishi wake ni Yanga ni wazi kuwa kundi limekaa kimtego na yeyote anaweza kufuzu kwenda…