Subscribe to Updates
Get the latest updates from Kijiweni.
Browsing: Ligi Kuu | Soka la Bongo
Wakati macho na masikio ya wengi ni mchezo wa hii leo ambao utaamua hatma ya nani anaungana na Asec Mimosas katika hatua ya robo fainali kumbuka…
Nadhani watu wa Simba kipindi hiki mngetulia kwanza kwani naona kila siku mnazidi kutengeneza sintofahamu kwa watu wa mpira. Sasa kama hiyo kauli ya kununuliwa kwa…
Wapo wakongwe ambao wanazifahamu klabu zilizowahi kuchukua ubingwa wa ligi kuu Tanzania Bara lakini pia wapo ambao hawazifahamu lakini hapa tumekuwekea orodha ya klabu ambazo ziliwahi…
Kwako Barbara Gonzalenz, Natumai umzima wa afya kabisa na unaendelea na majukumu yako mengine kama kawaida Barbra lakini pia natumai unaendelea kuifuatili vyema klabu yako ya…
Ukimtazama ni wazi kuwa huwezi kukataa ya kuwa ni mchezaji ambaye ana umbo halisi la mshambualiaji na naweza kusema kuwa Freddy Michael ni usajili mzuri lakini…
Tujikite zaidi kwenye ukweli na tupunguze zile propaganda za soka, kwanini hatutaki kuuzungumza ukweli juu ya kufanikiwa kwa mfanyabiashara Ghalib Said Mohamed ‘GSM’ baada ya kuelekeza…
Wachezaji huwa wanakuwa na sifa zao na wanatofautiana sana kwa mchezaji mmoja na mwingine na hapa ndipo namkumbuka mchezaji wa klabu ya Simba anayeitwa Saleh Karabaka…
Kwenu wachezaji wa simba, Najua mnafahamu namna ambavyo mchezo dhidi ya Jwaneng ulivyo na umuhimu mkubwa zaidi kwenu na klabu ya simba kwa ujumla bila kusahau…
Kama wewe ni mtu wa mpira ambaye mara nyingi huwa unaenda viwanjani katika baadhi ya mechi haswa zile ambazo huzikutanisha klabu za Simba na Yanga basi…
Kumekua na takwimu nyingi sana mtandaoni pamoja na maandiko kadha wa kadha haswa zikizihusisha klabu kubwa mbili hizi kubwa kuhusiana na ubora wao kimataifa na hii…