Subscribe to Updates
Get the latest updates from Kijiweni.
Browsing: Ligi Kuu | Soka la Bongo
Kwenye msimamo wa Ligi Kuu ni tofauti michezo minne kati ya Azam FC na Yanga SC, Azam wanaongoza Ligi wakiwa na jumla na alama 44 huku…
Ilikuwa ni vita Ya kimbinu kwa timu zote mbili Simba SC wakiingia kwa kufunguka zaidi na Tanzania Prisons pia nao wakifanya hivyo huku Simba SC wakiamua…
Ni zaidi ya misimu kumi sasa vilabu hivi vinashiriki Ligi kuu ya Tanzania kwa nyakati tofauti tofauti huku ikiitwa majina ya wadhamini mbalimbali, vilabu hivyo vimekutana…
Sina shaka kabisa kwamba barua hii itakufikia mwanamfalme Dube na najua kwamba kwa muda ambao umekaa hapa nchini ni wazi kuwa ushajua Kiswahili vizuri tu na…
Ukizungumzia moja kati ya washambuliaji ambao kwa namna moja ama nyingine walikua na msaada mkubwa katika kikosi cha Azam Fc basi huwezi kuacha kutaja jina la…
Kama ni wakati kwetu na mambo kubadilika basi ni ili la timu zetu kuanza kujikwamua kwenye swala la kujenga nembo bora na jina bora la timu…
Ligi kuu ya NBC imefikia mzunguko wa 19 ikiwa ni raundi ya pili ya msimu huu 2023/2024 msimu ambao umekuwa na mabadiliko makubwa sana kuanzia viwanja,…
Nimekuwa mkosoaji mkubwa wa Shirikisho la soka la Tanzania kutokana na sababu za waamuzi na mambo mengine mengi ambayo siwezi yasema yote lakini mnyonge mnyongeni lakini…
Nyakati zinaenda sana ni kama mshale wa saa uanzapo kuhesabu taratibu lakini ndiyo mwendo wake kama kinyonga na mitembeo yake ya kibingwa zaidi kama Kobe. Mwendo…
Ni wazi kuwa historia imeandikwa vyema na klabu zetu za Simba na Yanga baada ya timu zote mbili kufuzu hatua ya robo fainali ya ligi ya…