Subscribe to Updates
Get the latest updates from Kijiweni.
Browsing: Ligi Kuu | Soka la Bongo
Mchezo wa 18 kwa Simba SC na mchezo wa 21 kwa Singida Fountain Gate FC, Singida FG walikuwa na mwanzo bora sana wa msimu wakiwa na…
Kuna upepo hivi sasaa unasambaa kama moto wa mafuta ya petroli kuwa inakuwaje kwenye ligi moja mdhamini aweze kudhamini timu 6 kwenye ligi moja? Kwa maana…
Tatizo letu sisi watu wa mpira tunapenda kuvisikia vitu tuvipendavyo sisi, mfano ukiongelea ubora walionao Yanga SC utaambiwa sijui wewe ni Mnyama.Na hata hili nalozungumzia leo…
Kama ni mchezo uliongoza kuteka hisia za watu ndani ya muda mfupi wa kukutana kwa timu hizi mbili basi ni mchezo huu wa Leo timu zote…
Nikiri kuwa sipingani na jambo hili lakini ni wazi kuwa uongozi wa klabu ya Simba unapaswa kuwa makini zaidi kwani ndio eneo ambalo mara nyingi mashabiki…
Ni wakati wake tukumbushane jambo katika haya maisha kuna kitu kinaitwa wakati yaani time yako imefika na wengine muda wao hupita, hapa hua tunachanganya sana na…
Sitorudi nyuma kuandika ukweli japokua ni jipu chungu kwenye mioyo ya wanasimba ambao bila shaka wengi wamekua wakipumbazwa na propaganda za takwimu kuhusu Simba na wachezaje…
Ni fahari kubwa kwa ulimwengu wa sasa kujivunia nafasi kubwa ya wanawake kwenye jamii yetu jukumu mama la malezi limefanywa kwa ubora na muendelezo kila siku,…
Ukiachilia mbali matokeo na utamu wa ligi kuu Tanzania Bara lakini kumekua na purukushani za aina yake kati ya Azam Fc na mshambulaiji wao Prince Dube…
Waswahili wametembea wakakaa na kutuambia kuwa “Mkaa bure siyo sawa na mtembea bure” ila hawakuishia hapo wakatuongezea kuwa “Mpambanaji hachoki na akichoka basi wakati wa kufa…