Subscribe to Updates
Get the latest updates from Kijiweni.
Browsing: Ligi Kuu | Soka la Bongo
Moja ya kitu ambacho wana Yanga wengi hawaombei ni majeraha ya kiungo Pacome Zouzoua, na kupona haraka kwa Khalid Aucho na kama ikitokea hawatorejea mapema basi…
Mchezo ulianza kwa kasi kwa timu zote mbili Azam FC na Yanga SC wote wakifunguka kwa dakika 15 za mwanzo faida aliipata zaidi Yanga SC na…
Ni Azam dhidi ya Yanga, Moja ya mchezo mkubwa na wenye kuteka hisia za wapenda mpira nchini na hiyo inatokana na mchezo huo kuwa na msisimko…
Kwa heshima kubwa, Natumaini barua hii inawafikia katika afya na ustawi mzuri wakati huu tunapoendelea na harakati zetu za kuinua kiwango cha mpira wa miguu nchini…
Mamlaka zinazohusika na usimamizi wa usalama viwanjani nadhani zina kitu cha kutolea maelezo au kujifunza kutokana na uzembe kama huu ambao umekua ukijitokeza mara nyingi katika…
Nafiriki tunavyoendelea kukuuza huu mjadala tunazidi kumchanganya mchezaji, tungechagua kunyamaza ili tumsaidie Dickson Job nadhani tutakuwa tumechagua njia sahihii. Siyo yeye aliyeachwa kwenye kikosi cha Stars…
Kamanda Bila shaka uko poa kabisa na unaendelea na maandalizi yako ya upambanaji hapo kwa Watoto wa mitaa ya Twiga na Jangwani yalipo makao makuu ya…
Matokeo yao ya mwisho walipokutana kwenye raundi ya kwanza ni Yanga SC aliibuka na ushindi wa goli 3-0 magoli yakifungwa na Pacome Zouzoua, Max Nzengeli na…
Watu wengi bila shaka watakua wanajiuliza maswali mengi kichwani mwao nah ii ni baada ya kutangazwa kwa kikosi cha timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars)…
Ulikuwa ni ushindi muhimu kwa Simba SC na kuendelea kuwapa nafasi nzuri kwenye Ligi na kuendelea kuwapa Furaha mashabiki wao, ila kama ni msimu ambao hawatausahau…