Browsing: Hadithi

Riwaya ya Goryanah

Ilipoishia “Ilikuwa ni sauti ya Baba iliyomfanya asimame kwani ilikuwa Kama inamfokea, aligeuka ili amjibu lakini alikumbuka Kuna Maneno alikuwa akimwambia mamake.    “Hupaswi kuzungumza na…

Riwaya ya Goryanah

Ilipoishia ”  Wasimbe nyie! Mamako amebaki kula pesa za Mume wangu halafu unakuja kumtafuta Mamako kwangu! Nakwambia na huyo mamako anaendeleza umalaya na waume za watu!…

Riwaya ya Goryanah

Ilipoishia ” Mudy baada ya kumfikia ilibidi asimame nyuma yake make alikuwa amenuna. Goryanah ndio anageuka huku akipaza sauti, ndipo anakutana na Mudy uso kwa uso…

Riwaya ya Goryanah

Utangulizi:  Katika dunia hii kila mtu amekuwa akiuchukia umaskini, na familia zisizokuwa na uwezo nazo zimekuwa zikifedheheshwa na watu matajiri wakiamini katika jamii hawana mchango wowote!…

Nyumba Moja Na Majini

Ilipoishia “Waliomba sana, kuna wakati mimi nilihisi kuchoka lakini wao waliendelea tu hadi moyoni nikasema kweli ni watu wa Mungu. Ghafla nilianza kuona moshi mweusi ukitoka…

Nyumba Moja Na Majini

Ilipoishia ” Nilimsimulia kila kitu cha siku ile tu lakini, sikugusia mambo ya nyuma. “Du! Kwa hiyo mimi nikusaidieje?” “Naomba tuingie wote ndani, nataka nikachukue simu…

Nyumba Moja Na Majini

Ilipoishia “Nilihamaki kwa kusema ha! Nani amechukua bangi yangu? Sikujibiwa na mtu, ukimya ulitawala huku akili ikiniambia wale wapangaji wenzangu watakuwa wanahusika moja kwa moja. Baada…

Nyumba Moja Na Majini

Ilipoishia “Tulikwenda kusimama pembeni ya nyumba akaanza kuniambia: “Sikiliza, kama unaishi nyumba ya namna hiyo, unachotakiwa kufanya, kila siku asubuhi na jioni au usiku unapuliza bangi…

Nyumba Moja Na Majini

Ilipoishia “Mi simjui, kwani anaishi wapi? Maana kasema ananijua, ameniita na jina.” “Khaa! Kumbe wewe kama sisi. Huyu dada anaishi mitaa hiihii, lakini hakuna hata mmoja…

Nyumba Moja Na Majini

Ilipoishia “Nilipoanza kuhisi muda unakwenda na hakuna mtu aliyetoka, nikampa dakika tatu kwamba lazima atakuwa anavaa ndiyo maana anachelewa: “Labda alikuwa anajisaidia haja kubwa, maana wengine…