Browsing: Biriani la Ulaya

Sheffield United wamekubali kwa “kukataa kwa shingo upande” zabuni kutoka Marseille kwa mshambuliaji Iliman Ndiaye. Katika taarifa, klabu hiyo ilisema walimpa kandarasi “yenye kuvutia” kijana huyo…

Rasmus Hojlund akamilisha vipimo vya matibabu katika Manchester United; mkataba kusainiwa Jumatano Rasmus Hojlund alifika Manchester Jumatano jioni. Inasemekana mshambuliaji Mdenmark amekamilisha vipimo vyake vya matibabu…