Browsing: Biriani la Ulaya

Julian Nagelsmann anaripotiwa kujaribiwa na nafasi ya kuinoa Tottenham msimu ujao, kulingana na Bild. Nagelsmann alitimuliwa Bayern Munich mwezi uliopita na kuwa mshindani mkuu kuchukua nafasi…

Kocha wa Manchester United, Erik Ten Hag anaonekana kupata ushirikiano mpya wa ulinzi katika klabu hiyo. Mholanzi huyo alishirikiana na Victor Lindelof na Luke Shaw katika…