Subscribe to Updates
Get the latest updates from Kijiweni.
Browsing: Africa | CAF
Wakati Rais wa klabu ya Yanga, Injinia Hersi Said anamchukua Ibrahim Bacca kutoka katika klabu ya KMKM ya Zanzibar bila shaka hakuna aliyemuelewa anafanya nini na…
Baada ya hatua ya makundi kukamilika ni wazi sasa ile hatua ya 16 bora katika michuano ya mataifa barani Afrika (AFCON) inatarajiwa kuanza na yapo maswali…
Ni rasmi kuwa sasa Taifa Stars imeaga michuano ya mataifa barani Afrika baada ya kumaliza katika kundi wakiwa nafasi ya 4 na alama 2 pekee kwani…
Mpaka sasa yale majina makubwa ambayo yalikua yanategemewa kuwa yataibuka kuwa wafungaji bora wa michuano ya mataifa barani Afrika(AFCON) wamezidiwa kwa idadi kubwa kabisa ya magoli…
Wakati macho na masikio ya wengi hii leo ni kuona namna gani kama yataendelea maajabu ambayo yamekua yakijitokeza katika michuano ya mataifa barani Afrika huku mechi…
Moja kati ya tukio kubwa ambalo linazungumzwa sana katika mitandao ya kijamii bila shaka ni michuano ya mataifa barani Afrika yaani AFCON inayofanyika nchini Ivory Coast.…
Kuna wakati usipokuwa mwerevu kwenye maisha yako ukaamini ulipo hakuna atakaekufikia basi kuna siku utakutana na matukio ambayo yatakushangaza sana na utabaki umepigwa na butwaa kwani …
Mchezo kati ya Mozambique na Ghana katika AFCON ulikuwa wa kusisimua, ukiishia kwa kurudi kwa kishindo cha Mozambique na penalti mbili za dakika za mwisho kufanikiwa…
Ushindi wa Equatorial Guinea wa 4-0 dhidi ya wenyeji Cote d’Ivoire katika mchezo wa Kundi A wa CAF Africa Cup of Nations Cote d’Ivoire 2023 ni…
Michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika kwa mwaka 2023 (AFCON) ni moja kati ya tukio kubwa katika kalenda ya michezo ya bara la Afrika ambalo…