Subscribe to Updates
Get the latest updates from Kijiweni.
Browsing: Africa | CAF
Michuano ya mataifa barani Afrika msimu huu imekua na mambo mengi ya kustaajabisha haswa kutokana na matokeo yaliyokua yakitokea lakini pia na maamuzi ya waamuzi katika…
Baada ya hatua ya 16 bora michuano ya kombe la mataifa barani Afrika kukamilika ni rasmi sasa presha na joto linazidi kupanda zaidi la michuano hii…
Wiki moja iliyopita ilionekana kana kwamba Ivory Coast wangefungasha virago katika hatua ya makundi katika michuano ya mataifa barani Afrika (AFCON) inayochezwa nchini mwao, lakini sasa…
Unaweza kusema ni moja kati ya mchezo ambao bila shaka mashabiki wa soka walikua makini sana kuutazama na kila mmoja alikua anatamani kuona nani atapata ushindi…
Umbali wa takribani masafa 4,270 kutoka Ardhi ya Raisi wa Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini Namibia Robert Shimooshili na msaidizi wake Jakobus Markus akiwa makamu…
Wakati hii leo ni rasmi kuwa hatua ya 16 bora inaanza lakini michuano ya AFCON msimu huu imekuwa ya tofauti sana na wengi ambavyo walitarajia itakuwa,…
Baada ya hatua ya makundi ya Michuano ya Mataifa barani Afrika AFCON kutamatika na kujua timu 16 ambazo zimefanikiwa kufuzu hatua ya 16 bora na kujua…
Mashabiki wa soka wa klabu ya Yanga bila shaka kabisa katika hatua hii ya 16 bora katika michuano ya AFCON watakua na kipengele kikubwa sana cha…
Wakati michuano ya mataifa barani Afrika (AFCON) ikianza mitazamo ya wengi ilikuwa ni ngumu kuamini mchezaji kutoka Ligi kuu ya NBC kufanya vizuri na kuonyesha thamani…
Ukiuzungumzia mpira wa miguu Tanzania basi huwezi kuacha kulitaja Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) chini ya Rais wake Wallace Karia ambaye anaingia katika orodha ya marais…