Subscribe to Updates
Get the latest updates from Kijiweni.
Browsing: Africa | CAF
Wengi mmejikuta mnaangalia hatma ya Yanga kwa kuangalia tu mechi mbili za Yanga dhidi ya CR Belouizdad na ile ya mwisho dhidi ya Al Ahly. Hakuna…
Mwanzo ilionekana kama Asec dhidi ya Simba ni mechi ya kawaida na haitakuwa ngumu kiasi hicho kwa sababu tayari Asec Mimosa ameshafuzu hatua ya Robo fainali…
Kwa Tanzania utakua ni mchezo ambao utafuatiliwa kwa kina kabisa kwa mashabiki wa Simba lakini pia na wapenda mpira kutoka hapa nchini mchezo wa makundi ligi…
Katika kila timu moja kati ya nafasi ambayo mara nyingi huwa inazingatiwa sana katika kikosi ni pamoja na nafasi ya mlinda lango au unaweza kusema golikipa…
Mchezo wa raundi ya tano kundi B ligi ya mabingwa kati ya Asec Mimosas na Simba SC utapigwa Ijumaa Februari 23 katika uwanja wa Felix Houphouet…
Nadhani katika mechi ambayo kwa hivi sasa mashabiki wa klabu ya Yanga walikua wanaisubiria kwa hamu kubwa zaidi ni mchezo wa ligi ya mabingwa barani Afrika…
Baada ya mchezo wa kiporo wa Group D ambapo kutoka Tanzania mwakilishi wake ni Yanga ni wazi kuwa kundi limekaa kimtego na yeyote anaweza kufuzu kwenda…
Hii leo ni wazi kuwa klabu ya Yanga watakua wakiutazama kwa karibu kabisa mchezo wa CR Belouizdad vs Al Ahly ili kuona kama ndoto yao ya…
Achana na njia ngumu waliyopita Ivory Coast hadi kuwa mabingwa wa AFCON 2023 kuna njia nyingine ngumu aliyopita mfungaji wa bao la ushindi, Sebastian Haller kwani…
Ni rasmi sasa michuano ya mataifa barani Afrika (AFCON) kwa mwaka huu imekamilika rasmi na mwenyeji akifanikiwa kuuchukua ubingwa na kuubakisha katika ardhi yake ya nyumbani.…