Yanga SC wamecheza hii mechi kwa hesabu kubwa sana , katika vipindi vyote viwili wameonesha sura mbili tofauti : Jinsi gani ya kutawala mchezo na kushambulia…
Unaweza kuwa staili mbili tofauti ukiwa na mpira unaanzaje , kutokana na mpinzani wako anafanya nini dhidi yako , Simba SC hawakujibana na staili moja pale…
Liverpool dhidi ya Man United ni mechi ambayo inawakumbusha baadhi ya vita vikali vya Ligi Kuu ya Uingereza, na upinzani ulioanzia miongo kadhaa nyuma kwa vilabu…