Subscribe to Updates
Get the latest updates from Kijiweni.
Browsing: Africa | CAF
Mara baada ya kuwa nchi ya kwanza ya kiarabu ikiliwakilisha bara la Afrika kutinga hatua ya nusu fainali kombe la dunia baada ya kuwa na mwendo…
Michuano ya Kombe la mataifa ya Afrika 2023 (AFCON) inatarajiwa kuanza kutimua vumbi Januari 13 nchini Ivory Coast huku mataifa 24 yamefuzu katika michuano hiyo ya 34…
Mashindano ya AFCON 2023 yataanza rasmi Januari 13 nchini Ivory Coast kwa mchezo wa ufunguzi utakaowakutanisha wenyeji Ivory Coast wakikutana na Guinea-Bissau. Leo hii tutazame wachezaji…
Raja Club Athletic, au Raja Casablanca kwa kifupi, ni klabu ya soka ya kitaalamu iliyoko Casablanca, Morocco, na inashindana katika ligi ya Botola, ligi kuu ya…
Kuelekea michuano ya mataifa barani Afrika (AFCON) itakayofanyika nchini Ivory Coast, yapo matukio kadhaa ambayo yalishika vichwa vya habari na kuwafanya watu wengi kutaka kuyafuatilia ili…
AFCON, “Kombe la Mataifa ya Afrika,” ni mashindano ya kandanda ya bara la Afrika ambayo hufanyika kila baada ya miaka miwili. Hapa ni historia fupi ya…
Msimu huu wa AFCON 2023 utakaofanyika nchini Ivory Coast shirikisho la mpira wa miguu barani Afrika CAF likiungana na kampuni ya vifaa vya michezo ya PUMA…
Tarehe 13/01/2024 bila shaka ni siku inayosubiriwa kwa hamu kubwa sana na mashabiki wa soka barani Afrika kwa lengo kubwa la kutazama timu zao za Taifa…
Zikiwa zimesalia siku kadhaa kabla ya kuanza kwa michuano ya AFCON nchini Ivory Coast tayari vikosi vitakavyowakilisha nchi zilizofuzu vimekwishatangazwa na moja ya kikosi kilichotangazwa ni…
Hii ni orodha ya mwisho ya wachezaji 27 watakaovaa uzi wa Tanzania (Stars) kwenye mashindano ya AFCON imetoka huku baadhi ya wachezaji ambao walikuwemo kwenye orodha…