Subscribe to Updates
Get the latest updates from Kijiweni.
Author: Living Shayo
Ilikuwa ni vita Ya kimbinu kwa timu zote mbili Simba SC wakiingia kwa kufunguka zaidi na Tanzania Prisons pia nao wakifanya hivyo huku Simba SC wakiamua…
Ni zaidi ya misimu kumi sasa vilabu hivi vinashiriki Ligi kuu ya Tanzania kwa nyakati tofauti tofauti huku ikiitwa majina ya wadhamini mbalimbali, vilabu hivyo vimekutana…
Kama ni wakati kwetu na mambo kubadilika basi ni ili la timu zetu kuanza kujikwamua kwenye swala la kujenga nembo bora na jina bora la timu…
Ligi kuu ya NBC imefikia mzunguko wa 19 ikiwa ni raundi ya pili ya msimu huu 2023/2024 msimu ambao umekuwa na mabadiliko makubwa sana kuanzia viwanja,…
Nyakati zinaenda sana ni kama mshale wa saa uanzapo kuhesabu taratibu lakini ndiyo mwendo wake kama kinyonga na mitembeo yake ya kibingwa zaidi kama Kobe. Mwendo…
Wakati macho na masikio ya wengi ni mchezo wa hii leo ambao utaamua hatma ya nani anaungana na Asec Mimosas katika hatua ya robo fainali kumbuka…
Baada ya kupitia njia ngumu kabisa mpaka kuwa mabingwa ni wazi kuwa ilikua njia ambayo hakuna ambaye alitegemea kuwa watakua mabingwa wa michuano ya AFCON kwa…
Muda unakikimbia sana na nyakati mbalimbali kwenye maisha nazo zinapita, kuna wakati wa shida ambao wengi huwa mbali na wewe na wachache sana hubaki kuwa nawe…
Ladha za ligi kuu zinaendelea na tumekua tukiona matokeo tofauti tofauti ambayo yamekua yakijitokeza katika mechi mbalimbali bila kusahau vipaji kadha wa kadha kutoka timu tofautitofauti…
Timu zote mbili kwa nyakati tofauti walionekana kuwa watulivu sana hususa ni kikosi cha Simba SC licha ya kuwa nyuma kwa goli 0-0 ila walikuwa watulivu…