Author: Brenda Ulomi

Baada ya safari ndefu ya kutokujulikana na msuguano mkubwa katika ofisi za Barcelona, hatima ya Ousmane Dembele itakuwa PSG. Kiungo wa miaka 26 amekubali kujiunga na…

Inter Milan inakaribia kukamilisha makubaliano ya kumsajili mlinda mlango Yann Sommer kutoka Bayern Munich, kulingana na ripota wa Kijerumani Florian Plettenberg. Nerazzurri wamekuwa katika majadiliano na…

Mchezaji wa Al Ahly, Luis Miquissone, anarejea Simba Miquissone alijiunga na Al Ahly mwezi wa Agosti 2021 kutoka klabu ya Simba, ambayo ni mabingwa wa Tanzania,…