Author: Brenda Ulomi

Lionel Messi amemshambulia aliyekuwa mchezaji mwenzake wa Barcelona, Antonio Sanabria, baada ya mchezaji huyo wa Paraguay kudaiwa kumtemea mate nyota huyo. Video inaonekana kumuonyesha Sanabria akilenga…

Taarifa ya FA Shirikisho la Soka la England (FA) limethibitisha kuwa taa za Uwanja wa Wembley hazitawashwa kwa rangi za bendera ya Israel katika mechi ya…