Author: Brenda Ulomi

Betting na kamari zimekuwepo kwa karne nyingi katika utamaduni wa binadamu, na zina jukumu kadhaa katika maisha yetu. Hapa kuna mambo muhimu kuhusu betting katika jamii…

Neymar aliyekuwa amebeba machungu aliinuliwa kwenye kitanda cha kujitandika wakati Brazil iliposambaratishwa na Uruguay 2-0 baada ya kuumia goti kwa kile kilichoonekana kama jeraha kubwa. Mshambuliaji…