Subscribe to Updates
Get the latest updates from Kijiweni.
Author: Kaka Mkubwa
Chozi lilikuwa likinimwagika, nilikuwa nikimuaga Mama yangu kwa mara ya Mwisho Mkoani Tabora. “Mama! Umeniacha Mama yangu, nimebaki mwenyewe” Nilisema kwa sauti iliyowaumiza wengi, alikuja Mama…
Ilipoishia “Mama umemyoosha sana” “Ndiyo dawa yake, mwache tu. Hawezi kufanya chochote kile sababu anajua una ujauzito wake, atakapo kuja kufunguka kiakili utakua umemaliza kila kitu,…
Ilipoishia “Muda huo Magari mawili yalikua yakiingia Hospitalini hapo kwa kupishana dakika tano, aliyekua wa kwanza kuingia alikua ni James, alipotoka tu kwa Chilo aliona ni…
Ilipoishia “James, ni wazi bado unampenda Matilda, ni wazi kua ipo siku utakuja kunitelekeza na Mimba yangu kitu ambacho sipo tayari kitokee” akasema Neema akiwa anamsogelea…
Ilipoishia “Fanya haraka” Akaelekezwa mahali ambapo angemwona Matilda, japo dakika mbili zisingetoshea kuzungumza naye ila alihitaji kumwona na kupata uhakika kua ana Mtoto na Bosi wake, …
Ilipoishia “Kwahiyo umeanza kua na huruma si ndiyo? Basi hakuna sababu ya kujificha, jitokeze hadharani ujitangaze kua Bilionea mwenye Mtoto Mlemavu, si una shida sana ya…
Ilipoishia “Asante Yesu” Mikono yake ikiwa juu, Mchungaji akaja na kumwinua “Matilda, kanisa linakuhitaji useme neno” Mchungaji George alimsogeza Matilda hadi Madhabauni, akampa kipaza sauti. Aseme…
Ilipoishia “James!! tumepima DNA na majibu unayajua kua Patra ni Mtoto wako, kwanini damu yako unaiacha iteseke kisa ulemavu?” alisema Matilda, alipigwa kofi hadi waliokua karibu …
Ilipoishia “James una hakika kuwa hii ni Mimba yako?” Lilikua ni swali aliloulizwa James, walikuwa chemba na Mama yake wakimuacha Neema akiwa sebleni “Ndiyo Mama kwanini…
“Ahsante Mama Naomi” Ilikuwa ni sauti yenye upole, Matilda alikuwa akimwambia Mama Naomi huku chozi likimlenga “Usijali Mdogo wangu Maisha ndivyo yalivyo, ni wajibu wangu kukusaidia”…