Subscribe to Updates
Get the latest updates from Kijiweni.
Author: Kaka Mkubwa
Mvua ilikuwa ikinyesha, moyo wangu ulijawa na tabasamu kubwa sana, nilijinyoosha ili kuianza siku mpya ambayo ilianza kwa hali ya hewa kuwa nzuri yenye ubaridi. Niliposhika…
Ilipoishia “Tulirudi kule kwenye ghorofa la Tancot House ambapo ndiyo tulilala usiku uliopita, Nilijaribu nguo zote ikapatikana moja tu ambayo ilionekana kuwa nzuri sana na yenye …
Ilipoishia “Sikia Jojo, ukiishi kwa kuhitaji huruma ya wengine utaishia kuishi Maisha ya hovyo sana. Lengo la kukutoa mle ni kutaka kufanya na wewe baadhi ya…
Ilipoishia “Basi Maisha ndani ya Gereza yaliendelea, siku moja baada ya kazi ilikuwa ni majira ya saa 7 Mchana, ulikuwa ni muda wa kupata Chakula. Tulikuwa…
Ilipoishia “Ingia kwenye gari” ilikuwa kama ndoto vile, nilifungua mlango wa gari ili niingie kwenye gari. Kabla hata sijaingia nilihisi uzito kwenye mgongo wangu alafu nilipata…
Ilipoishia “Haraka nikiwa nimevalia pensi na tisheti nilielekea huko, kweli niliona Kijiwe cha Watu watatu hivi ambao baada ya kuniona Mimi walikaa tayari, nilitoa ishara ya…
Ilipoishia “Sikujuwa hata mtandio wangu niliudondoshea wapi, nilikuwa kama Chizi maana wakati nalia nilitimua sana nywele zangu. Nilikaa hapo kama Bubu, niliwaza sana hadi kichwa kiliacha …
Ilipoishia “Japo mambo yale yalikuwa mageni kwangu na yenye kuniumiza ila yalinifundisha vitu vingi sana ambavyo hata kama ningesoma hadi ngazi ya digrii nisingeliweza kujifunza. Usingizi …
Ilipoishia “Najuwa unaumia Jojo ila utazoea tu sababu hata Mimi nilikuwa kama wewe siku ya kwanza naanza kazi, nilikuwa mnyonge, sikuzoea kuvaa hivi ila ilinibidi nikubali…
Ilipoishia “Tulienda moja kwa moja anapoishi Shonaa akaniambia kesho yake atanipeleka kwa huyo Bosi, nilikuwa nimechoka hivyo sikuwa na maswali mengi zaidi ya kuhitaji Kupumzika tu,…