Author: Kaka Mkubwa

Love & Pain

Ilipoishia “Lucia alimpatia Noela bahasha hiyo yenye taarifa muhimu za  kesi, Desmond aliona makabidhiano hayo ya Bahasha kisha  wawili hao waliagana kila mmoja akashika barabara yake. …

Love & Pain

Ilipoishia “Haijulikani, mfumo hauitambui gari hiyo” Alisema Polisi huyo  kitu ambacho kilimshangaza sana Desmond, itakuwaje gari yake  isitambulike? Kibaya zaidi alikumbuka kuwa hakutoa chochote  kwenye ile…

Love & Pain

Ilipoishia “Usiku Lucia aliondoka Hospitalini akiwa hoi Bin taabani,  alipitia baa akaagiza pombe akanywa maana jambo lile halikuwa  la kawaida hasa kwa Mawanaume ambaye alimpenda ila…

Love & Pain

Ilipoishia “Ndani ya masaa matano Desmond alifanikiwa kufika Kijijini  hapo.  Alikijua vizuri kijiji hicho sababu yeye ndiye aliyemfuata  Sanga akawe mfanyakazi, alivalia kofia kisha alishuka kwenye …

Love & Pain

Ilipoishia “Desmond wewe ni Mzuri sana, Hakika Mke wako anajivunia kuwa  na Mwanaume kama Wewe” Alisema Lucia kisha Desmond  alitabasamu kidogo alafu hakusema chochote kile hadi…

Love & Pain

Usiku mmoja, Mwanaume mmoja alikuwa akitoka Hospitalini,  alionekana kwenda hapo kwa ajili ya kumuona Mtu mmoja  aliyemfahamu sana tena alikuwa Mtu wa karibu sana kwake.  Mwanaume…

Ilipoishia “Scola nijibu alikuja Mgeni si ndiyo?” Nilimuuliza tena baada  ya kuona alikuwa hanipi jibu  “Lakini Dada..” alisema Scola, nikahisi kuna jambo  “Sitaki cha lakini nataka…

Ilipoishia “Lakini Mosses mbona hukuniambia kama unafungua Biashara?  Unafikiria ndani ya huo mwezi Mimi na Mama tutakuwa tunaishi  wapi?” Nilimuuliza Mosses  “Sasa Jacklin unafikiria pesa inahifadhiwa…

Ilipoishia “Umenisaliti eeh?” Aliuliza Mosses kama kawaida yake alikuwa  na tabia ya wivu sana  “Siwezi kukusaliti Mosses, unanijuwa vizuri. Sina ujanja  kwako” nilisema lakini bila kumaanisha…