Subscribe to Updates
Get the latest updates from Kijiweni.
Author: Kaka Mkubwa
Ilipoishia Jana ” Haraka Salma alichukua Taxi akarejea nyumbani kwake, alikuta bado ndugu wapo wakimsubiria maana alishapiga simu kua ameachiwa huru. ” Tuendelee Sasa SEHEMU YA NNE…
Ilipoishia jana ” Pili alifikia maamuzi ya kukubali kua Muuaji aliyapanga vizuri Mauaji hayo kwa maana aliweza kufuta picha kadhaa kwenye Mboni ya Mzee Yusuf na…
Ilipoishia jana ” Mkononi Mzee huyo alikua ameshikilia Bastola nyeusi ndogo, hapa Daudi akashindwa kufasili kwa haraka haraka ni kwanini alikua na Bastola ambayo haikuonekana kutumika.…
UTANGULIZI Ulikua ni Usiku mwingi, mvua kubwa ilikua ikinyesha ikisindikizwa na radi za hapa na pale,ndani ya kasri moja la kitajiri palionekana kua kimya sana huku…