Subscribe to Updates
Get the latest updates from Kijiweni.
Author: Kaka Mkubwa
Ilipoishia ” Wakati wakiwa jikoni wadada wa kazi wote walishadadia Gorii” apeleke kinywaji kwanza kwani wote wanamuogopa Jolvin, muda wote ni kusodoa, wakati mama anaita Goriii…
Ilipoishia ” Baada ya kumaliza maongezi walirudi sebuleni, Gorii” alitembezwa nyumba nzima ajue mazingira pia alipatiwa chumba chake kwaaajili ya mapumnziko. Mwisho kabisa walikaa mezani wapate…
Ilipoishia “Ilikuwa ni sauti ya Baba iliyomfanya asimame kwani ilikuwa Kama inamfokea, aligeuka ili amjibu lakini alikumbuka Kuna Maneno alikuwa akimwambia mamake. “Hupaswi kuzungumza na…
Ilipoishia ” Mudy baada ya kumfikia ilibidi asimame nyuma yake make alikuwa amenuna. Goryanah ndio anageuka huku akipaza sauti, ndipo anakutana na Mudy uso kwa uso…
Utangulizi: Katika dunia hii kila mtu amekuwa akiuchukia umaskini, na familia zisizokuwa na uwezo nazo zimekuwa zikifedheheshwa na watu matajiri wakiamini katika jamii hawana mchango wowote!…
Ilipoishia “Waliomba sana, kuna wakati mimi nilihisi kuchoka lakini wao waliendelea tu hadi moyoni nikasema kweli ni watu wa Mungu. Ghafla nilianza kuona moshi mweusi ukitoka…
Ilipoishia ” Nilimsimulia kila kitu cha siku ile tu lakini, sikugusia mambo ya nyuma. “Du! Kwa hiyo mimi nikusaidieje?” “Naomba tuingie wote ndani, nataka nikachukue simu…
Ilipoishia “Nilihamaki kwa kusema ha! Nani amechukua bangi yangu? Sikujibiwa na mtu, ukimya ulitawala huku akili ikiniambia wale wapangaji wenzangu watakuwa wanahusika moja kwa moja. Baada…
Ilipoishia “Mi simjui, kwani anaishi wapi? Maana kasema ananijua, ameniita na jina.” “Khaa! Kumbe wewe kama sisi. Huyu dada anaishi mitaa hiihii, lakini hakuna hata mmoja…
Ilipoishia “Nilipoanza kuhisi muda unakwenda na hakuna mtu aliyetoka, nikampa dakika tatu kwamba lazima atakuwa anavaa ndiyo maana anachelewa: “Labda alikuwa anajisaidia haja kubwa, maana wengine…