Author: Kaka Mkubwa

Ilipoishia “Inawezekanaje Zola?” “Hiyo ndio hali halisi ndio maana nimekuita hapa ili  tuzungumze, nahisia mbaya juu ya Mkuu wa Nchi lakini sitaki  kujiaminisha chochote”  “Unataka kusema…

Ilipoishia  “Fuata maelekezo yangu, kuwa makini hao Watu wana akili ya  ziada sana wakati mwingine Watu hawaamini kama Huyo Mzungu ni  Binadamu, wana akili iliyozidi…unaweza kuwa…

Ilipoishia “Aaaah Zola” ilisikika sauti upande wa Mzee Dawson, ikionesha  alikuwa akijigeuza.  “Hebu fanya taratibu tuonane ana kwa ana Mzee Dawson, nahisi  kuchanganikiwa sasa” Zola alikata…

Ilipoishia “Unatakiwa kuwa makini sana sababu kwa namna alivyo huyo Mtu  si rahisi akamuamini Mtu kwa Mara ya kwanza, unapaswa pia  kujuwa kuwa ukibainika basi kila…

Ilipoishia “Kuna kundi linaitwa MAFIA GANG, ni kundi maalum kwa ajili ya  Ugaidi…Mkuu wa kundi hili anaitwa John Brain ni mzungu  anayeishi Uskochi, Kazi yake ni…

Jasusi

Robert akiwa kwenye gari lake alianza kulia, akashindwa hata  kuendesha akaamua kusimama kando ya Barabara akiwa  anabubujikwa na machozi.  Machozi yakawa yanamtiririka Robert huku akizidi kulia…

Love & Pain

Ilipoishia “Joshua naomba tuonane kwenye mgahawa muda huu” Alisema Noela  kisha alikata simu, Desmond alishusha pumzi zake baada ya  kujiridhisha kuwa Noela hajagundua lolote maana kama …

Love & Pain

Ilipoishia “muda siyo mrefu sana alikuja na gari akasema umemuagiza na  alikuwa akijuwa hadi lilipokaa nikamiami, ina maana hukumtuna  Mtu?” aliuliza Mama Noela kwa mshangao, Noela…

Love & Pain

Ilipoishia “Basi twende nikusindikize” Alisema Mwanaume huyo, Lucia  aliingia kwenye gari, safari ilianza kuelekea nyumbani kwao  Noela, wakiwa Barabarani mwanaume huyo alionekana kumtongoza  Lucia lakini Lucia…

Love & Pain

Ilipoishia “Kumbukumbu ya Desmond iliishia hapo, alitikisa kichwa chake  kisha alielekea ofisini kwa Daktari wa Hospitali, Daktari  alipomuona Desmond alijuwa nini kimemleta, Desmond alianza  kumshambulia Daktari…